Watumishi walikiwepo tangu enzi na enzi... Mpya hapa ni huyu jiwe.... Sababu kibwa ni yeye wala si vingine.. huko kwingine tutatafuta MCHAWI tuKairuki aeleza sababu wawekezaji kutimka
Sunday May 12 2019
By Happiness Tesha, Mwananchi htesha@mwananchi.co.tz
Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki amesema vitendo vya rushwa, urasimu uliokithiri na vinavyoendana na hivyo kwa watumishi wa umma ni chanzo cha kufukuza wafanyabiashara na wawekezaji nchini
Amesema hali hiyo inasababisha kushindwa kufikia lengo la Taifa la ukuaji wa kibiashara.
Waziri huyo alisema hayo jana wakati akifunga kongamano la kibiashara la nchi zinazozunguka Ziwa Tanganyika lililofanyika kwa siku tatu mjini hapa.
Alisema watumishi wa umma wanatakiwa kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa, kwa ufanisi na kuondoa urasimu usio wa lazima ili kuvutiwa wawekezaji.
Kairuki alisema hata kama Serikali ikitumia nguvu kubwa katika kutangaza wafanyabiashara na wawekezaji kuja kuwekeza nchini, kama vitendo hivyo visipokomeshwa watumishi wa namna hiyo wataendelea kuwakimbiza.
Alisema kila mtumishi wa umma anatakiwa ajitathmini katika utendaji wake kwani vitendo hivyo vikiendekezwa vitasababisha wawekezaji kwenda kuwekeza nchi nyingine.
Alisema Serikali itaendelea kupunguza changamoto ya tozo kwa wafanyabiashara na wawekezaji kwa lengo la kuboresha biashara.
Naye mkuu wa mkoa wa Kigoma, Emanuel Maganga alisema Serikali haitawavumilia watumishi wa umma mkoani humo watakaokwamisha shughuli za kibiashara kwa wafanyabiashara kutoka ndani na nje ya nchi.
Kwa upande wake, Rais wa chama cha wafanyabiashara kutoka Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Ndakala Emmanuel alisema mkutano huo uliomalizika usiwe bure, bali Serikali ya Tanzania ifanyie kazi mambo yote yaliyojadiliwa ili kila mmoja aweze kunufaika na makubalianao hayo.
“Kama tusipopata matokeo mazuri ya kikao hiki itakuwa tumekaa bure hapa na kupoteza muda, ila kama mapendekezo yatafanyiwa kazi tutapata mafanikio katika biashara zetu,” alisema.
Hilo ni kongamano la kwanza kufanyika mkoani Kigoma, ambapo baadhi ya mikoa iliyofanya makongamano kama hayo yanayolenga kuvutia uwekezaji ni pamoja Mwanza, Arusha, Lindi na Tabora.
Watumishi walikiwepo tangu enzi na enzi... Mpya hapa ni huyu jiwe.... Sababu kibwa ni yeye wala si vingine.. huko kwingine tutatafuta MCHAWI tu
Problems ni CEOs wa hayo mashirika ya umma. Hawashuki chini kujua kinachofanyika na watendaji wao. Unakuta mwekezaji anakwamishwa kwa kutaka 10%Kairuki aeleza sababu wawekezaji kutimka
Sunday May 12 2019
By Happiness Tesha, Mwananchi htesha@mwananchi.co.tz
Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki amesema vitendo vya rushwa, urasimu uliokithiri na vinavyoendana na hivyo kwa watumishi wa umma ni chanzo cha kufukuza wafanyabiashara na wawekezaji nchini
Amesema hali hiyo inasababisha kushindwa kufikia lengo la Taifa la ukuaji wa kibiashara.
Waziri huyo alisema hayo jana wakati akifunga kongamano la kibiashara la nchi zinazozunguka Ziwa Tanganyika lililofanyika kwa siku tatu mjini hapa.
Alisema watumishi wa umma wanatakiwa kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa, kwa ufanisi na kuondoa urasimu usio wa lazima ili kuvutiwa wawekezaji.
Kairuki alisema hata kama Serikali ikitumia nguvu kubwa katika kutangaza wafanyabiashara na wawekezaji kuja kuwekeza nchini, kama vitendo hivyo visipokomeshwa watumishi wa namna hiyo wataendelea kuwakimbiza.
Alisema kila mtumishi wa umma anatakiwa ajitathmini katika utendaji wake kwani vitendo hivyo vikiendekezwa vitasababisha wawekezaji kwenda kuwekeza nchi nyingine.
Alisema Serikali itaendelea kupunguza changamoto ya tozo kwa wafanyabiashara na wawekezaji kwa lengo la kuboresha biashara.
Naye mkuu wa mkoa wa Kigoma, Emanuel Maganga alisema Serikali haitawavumilia watumishi wa umma mkoani humo watakaokwamisha shughuli za kibiashara kwa wafanyabiashara kutoka ndani na nje ya nchi.
Kwa upande wake, Rais wa chama cha wafanyabiashara kutoka Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Ndakala Emmanuel alisema mkutano huo uliomalizika usiwe bure, bali Serikali ya Tanzania ifanyie kazi mambo yote yaliyojadiliwa ili kila mmoja aweze kunufaika na makubalianao hayo.
“Kama tusipopata matokeo mazuri ya kikao hiki itakuwa tumekaa bure hapa na kupoteza muda, ila kama mapendekezo yatafanyiwa kazi tutapata mafanikio katika biashara zetu,” alisema.
Hilo ni kongamano la kwanza kufanyika mkoani Kigoma, ambapo baadhi ya mikoa iliyofanya makongamano kama hayo yanayolenga kuvutia uwekezaji ni pamoja Mwanza, Arusha, Lindi na Tabora.
Kwani rushwa zamani haikuwepo? Visingizio tu, wao wamebadilisha sheria zimekaa kibabe na kijamaa, tufike mahali kama nchi tukubali kuwa ujamaa hauna nafasi tena dunia hii,Kairuki aeleza sababu wawekezaji kutimka
Sunday May 12 2019
By Happiness Tesha, Mwananchi htesha@mwananchi.co.tz
Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki amesema vitendo vya rushwa, urasimu uliokithiri na vinavyoendana na hivyo kwa watumishi wa umma ni chanzo cha kufukuza wafanyabiashara na wawekezaji nchini
Amesema hali hiyo inasababisha kushindwa kufikia lengo la Taifa la ukuaji wa kibiashara.
Waziri huyo alisema hayo jana wakati akifunga kongamano la kibiashara la nchi zinazozunguka Ziwa Tanganyika lililofanyika kwa siku tatu mjini hapa.
Alisema watumishi wa umma wanatakiwa kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa, kwa ufanisi na kuondoa urasimu usio wa lazima ili kuvutiwa wawekezaji.
Kairuki alisema hata kama Serikali ikitumia nguvu kubwa katika kutangaza wafanyabiashara na wawekezaji kuja kuwekeza nchini, kama vitendo hivyo visipokomeshwa watumishi wa namna hiyo wataendelea kuwakimbiza.
Alisema kila mtumishi wa umma anatakiwa ajitathmini katika utendaji wake kwani vitendo hivyo vikiendekezwa vitasababisha wawekezaji kwenda kuwekeza nchi nyingine.
Alisema Serikali itaendelea kupunguza changamoto ya tozo kwa wafanyabiashara na wawekezaji kwa lengo la kuboresha biashara.
Naye mkuu wa mkoa wa Kigoma, Emanuel Maganga alisema Serikali haitawavumilia watumishi wa umma mkoani humo watakaokwamisha shughuli za kibiashara kwa wafanyabiashara kutoka ndani na nje ya nchi.
Kwa upande wake, Rais wa chama cha wafanyabiashara kutoka Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Ndakala Emmanuel alisema mkutano huo uliomalizika usiwe bure, bali Serikali ya Tanzania ifanyie kazi mambo yote yaliyojadiliwa ili kila mmoja aweze kunufaika na makubalianao hayo.
“Kama tusipopata matokeo mazuri ya kikao hiki itakuwa tumekaa bure hapa na kupoteza muda, ila kama mapendekezo yatafanyiwa kazi tutapata mafanikio katika biashara zetu,” alisema.
Hilo ni kongamano la kwanza kufanyika mkoani Kigoma, ambapo baadhi ya mikoa iliyofanya makongamano kama hayo yanayolenga kuvutia uwekezaji ni pamoja Mwanza, Arusha, Lindi na Tabora.
Jiwe hajawahi Fanya biashara wala hajui faida inatokana na nini anadhani pesa zinaokotwa tu so hua anapenda akamue kadri anavyotaka bila kulisha majani.na watu tulipiga sana kelele kuonya hakusikia sasa anaangushia wengine banda bovuwatumishi wa umma wanazidi kuangushiwa jumba bovu.
SASA hii serikali ya kifutu jiwe si huwa wanajigamba kuwa wadhibiti mianya yote ya rushwa na Hamna ufisadi tena??Kairuki aeleza sababu wawekezaji kutimka
Sunday May 12 2019
By Happiness Tesha, Mwananchi htesha@mwananchi.co.tz
Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki amesema vitendo vya rushwa, urasimu uliokithiri na vinavyoendana na hivyo kwa watumishi wa umma ni chanzo cha kufukuza wafanyabiashara na wawekezaji nchini
Amesema hali hiyo inasababisha kushindwa kufikia lengo la Taifa la ukuaji wa kibiashara.
Waziri huyo alisema hayo jana wakati akifunga kongamano la kibiashara la nchi zinazozunguka Ziwa Tanganyika lililofanyika kwa siku tatu mjini hapa.
Alisema watumishi wa umma wanatakiwa kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa, kwa ufanisi na kuondoa urasimu usio wa lazima ili kuvutiwa wawekezaji.
Kairuki alisema hata kama Serikali ikitumia nguvu kubwa katika kutangaza wafanyabiashara na wawekezaji kuja kuwekeza nchini, kama vitendo hivyo visipokomeshwa watumishi wa namna hiyo wataendelea kuwakimbiza.
Alisema kila mtumishi wa umma anatakiwa ajitathmini katika utendaji wake kwani vitendo hivyo vikiendekezwa vitasababisha wawekezaji kwenda kuwekeza nchi nyingine.
Alisema Serikali itaendelea kupunguza changamoto ya tozo kwa wafanyabiashara na wawekezaji kwa lengo la kuboresha biashara.
Naye mkuu wa mkoa wa Kigoma, Emanuel Maganga alisema Serikali haitawavumilia watumishi wa umma mkoani humo watakaokwamisha shughuli za kibiashara kwa wafanyabiashara kutoka ndani na nje ya nchi.
Kwa upande wake, Rais wa chama cha wafanyabiashara kutoka Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Ndakala Emmanuel alisema mkutano huo uliomalizika usiwe bure, bali Serikali ya Tanzania ifanyie kazi mambo yote yaliyojadiliwa ili kila mmoja aweze kunufaika na makubalianao hayo.
“Kama tusipopata matokeo mazuri ya kikao hiki itakuwa tumekaa bure hapa na kupoteza muda, ila kama mapendekezo yatafanyiwa kazi tutapata mafanikio katika biashara zetu,” alisema.
Hilo ni kongamano la kwanza kufanyika mkoani Kigoma, ambapo baadhi ya mikoa iliyofanya makongamano kama hayo yanayolenga kuvutia uwekezaji ni pamoja Mwanza, Arusha, Lindi na Tabora.
Hakuna cha CEO wala waziri wala katibu Mkuu, hapo ni suala la sheria zetu siyo rafiki taasisi nyingi zinatoza tozo hata kabla hujaanza biashara, mfano NEMC ukitaka kuwapeleka kwenye eneo lako lazima uwalipe pesa ya ushauri, uwalipe posho ya na usafiri, Mkemia mkuu naye vivyohivyo ili hali wanalipwa mishahara.Problems ni CEOs wa hayo mashirika ya umma. Hawashuki chini kujua kinachofanyika na watendaji wao. Unakuta mwekezaji anakwamishwa kwa kutaka 10%
ni wawekezaji wepi? wale mabeberu au kuna wengineeKairuki aeleza sababu wawekezaji kutimka
Sunday May 12 2019
By Happiness Tesha, Mwananchi htesha@mwananchi.co.tz
Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angellah Kairuki amesema vitendo vya rushwa, urasimu uliokithiri na vinavyoendana na hivyo kwa watumishi wa umma ni chanzo cha kufukuza wafanyabiashara na wawekezaji nchini
Amesema hali hiyo inasababisha kushindwa kufikia lengo la Taifa la ukuaji wa kibiashara.
Waziri huyo alisema hayo jana wakati akifunga kongamano la kibiashara la nchi zinazozunguka Ziwa Tanganyika lililofanyika kwa siku tatu mjini hapa.
Alisema watumishi wa umma wanatakiwa kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa, kwa ufanisi na kuondoa urasimu usio wa lazima ili kuvutiwa wawekezaji.
Kairuki alisema hata kama Serikali ikitumia nguvu kubwa katika kutangaza wafanyabiashara na wawekezaji kuja kuwekeza nchini, kama vitendo hivyo visipokomeshwa watumishi wa namna hiyo wataendelea kuwakimbiza.
Alisema kila mtumishi wa umma anatakiwa ajitathmini katika utendaji wake kwani vitendo hivyo vikiendekezwa vitasababisha wawekezaji kwenda kuwekeza nchi nyingine.
Alisema Serikali itaendelea kupunguza changamoto ya tozo kwa wafanyabiashara na wawekezaji kwa lengo la kuboresha biashara.
Naye mkuu wa mkoa wa Kigoma, Emanuel Maganga alisema Serikali haitawavumilia watumishi wa umma mkoani humo watakaokwamisha shughuli za kibiashara kwa wafanyabiashara kutoka ndani na nje ya nchi.
Kwa upande wake, Rais wa chama cha wafanyabiashara kutoka Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Ndakala Emmanuel alisema mkutano huo uliomalizika usiwe bure, bali Serikali ya Tanzania ifanyie kazi mambo yote yaliyojadiliwa ili kila mmoja aweze kunufaika na makubalianao hayo.
“Kama tusipopata matokeo mazuri ya kikao hiki itakuwa tumekaa bure hapa na kupoteza muda, ila kama mapendekezo yatafanyiwa kazi tutapata mafanikio katika biashara zetu,” alisema.
Hilo ni kongamano la kwanza kufanyika mkoani Kigoma, ambapo baadhi ya mikoa iliyofanya makongamano kama hayo yanayolenga kuvutia uwekezaji ni pamoja Mwanza, Arusha, Lindi na Tabora.
Problems ni CEOs wa hayo mashirika ya umma. Hawashuki chini kujua kinachofanyika na watendaji wao. Unakuta mwekezaji anakwamishwa kwa kutaka 10%
We hujui...ishu ni jiwe tu... Hao wazawa wanaofunga maduka ni kielelezo tosha....Kwa nini wakati wa MARAISI WENGINE HAYAKUWEPO HAYA?Problems ni CEOs wa hayo mashirika ya umma. Hawashuki chini kujua kinachofanyika na watendaji wao. Unakuta mwekezaji anakwamishwa kwa kutaka 10%
Watatafuta visingizio vingi ila hawatokubali kua tatizo ni lao, sa hivi Tanzania sio sehemu nzuri ya kuinvest hata kidogo, investing money bongo ni kupoteza hela tu, serikali inasumbua sana investors conditions zimekua nyingi mno nyingine ambazo ni unnecessary.