Kaini alipata wapi mke wake?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚

Maxence melo mungu akubariki
Dah nimecheka
 
Mmmmh! Bado kichwa changu kinapiga hesabu
 
Kinaelezea jins eva alivyo kuwa anamwangusha Adam kila wanapopanga kuomba msamaha kwa Mungu ili warudishwe eden tena.
Pia kina elezea kuwa Kain sio mtoto wa dam wa Adam
Kwanini sio mtoto wa Adam
 
Wht happened then tukawa hivi tulivyo wakati kwa asili tunaamini ya kwamba afamu hakuwa kama sisi.

Bustani ya edeni ilikuwa wapi?
Na je kama sisi ni uzao wa Adam na Hawa imekuaje Kuna wazungu, wachina, watu weusi na binadamu wengine wa aina mbali mbali. Kwanini hatukufanana wote?

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…