Kaini alipata wapi mke wake?

Si kila mchungaji ana roho wa kumsaidia kusoma na kupata maana halisi ya kibiblia... si ajabu alikupa jibu analodhani yeye na si kwa usaidizi wa roho mtakatifu.
 
Upo right mkuu, enzi hizo wanawake hawakuhesabiwa kabisa hivyo kaini alimuoa dada yake ambaye hakuwa mentioned kwenye Bililia.
Hata wakati yesu analisha watu kwa samaki na mikati, Bililia inasema wanawake hawakuhesabiwa!
 
Msemaji baada ya kuvuta bangi 😂 😂 😂
 
Ndugu, Ukitaka kuchuma dhambi we endela kuihoji biblia kwenye masuala ya kiutata kwa uwezo wa kibinadamu. Tafsiri ya Biblia ni kitu kizito mno - masuala mengine kwenye biblia unahitaji Roho mtakatifu kupata ufunuo !!
Sidhani kama unachofikiri ni kweli maana lazima tuhoji baadhi ya vitu
 
😅😅😅😅😅

Aiseee hii umetoa wapi?
 
Andiko lipi
 
hapo zamani watu walikuwa wakiishi kama wanyama maana ni zama za ujinga

Reference: mbuzi kumpanda mama yake, kuzaa na Dada zake hizo ndiyo zama za ujinga zivyokuwa

Umekumbuka


Matendo ya mtume 17:30 SUV

Basi,. zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu.




soma hii pia

MWANZO 19:30-38 "Loti/Lutu aliogopa kuishi Soari kisha akauhama mji huo yeye pamoja na binti zake wawili.Wakaenda kuishi pangoni milimani.

Binti yake mkubwa akamwambia dadake mdogo "Tazama baba yetu ni mzee na hakuna mwanamume nchini wa kutuoa tupate watoto.Tumlevye baba yetu ili tulale naye atuzalie watoto."


Usiku huo wakamlevya baba yao divai na binti mkubwa akalala naye na kupata mimba........
 
Wakisha kujibu mkuu!

Naomba uwaulize kama yesu alikuwa mwanadamu kweli na Mungu pia, je sifa zote za kibinadamu alikuwa nazo?

Mfano: Yesu kama mwanaume je alisimamisha (erection)

Kwasababu hata mtoto wa mwaka mmoja au miwili hupata erection.

If yes ! Can we call it Holy Erection!?
 
Maswali kama haya nimeuliza sana sipati jibu sahihi.
Ikitokea ukajibiwa vizuri tusogezane nipo counter mkuu.
 
Sawa mkuu
 
Ahsante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…