Kaimu Mkurugenzi Mkuu COASCO atumbuliwa rasmi.

Kipapatiro

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2017
Posts
1,128
Reaction score
1,497
Bodi ya Kurugenzi COASCO imemtumbua Kaimu Mkurugenzi Mkuu mzee Wadaa.

Wafuatao wajiandae
- Ismail Mshare
- J. Mgetta na
- Mr Golden Kajaba
Hawa wote ni genge moja.

Naomba Kaimu mpya mchunguze binti (Miss COASCO) huyu ni untouchable kwenye shirika hili na ni mmoja Kati ya wanaotumia majina ya cheti Cha mtu. Jina lake halisi ni Manka.

Huyu dada amepewa nyumba mbili za shirika hapa Dodoma (Makole) na nyumba nyingine Dar (Upanga)

Kwa cheo chake Cha uhudumu anapewaje nyumba mbili wakati Auditors tumenyimwa nyumba......
IMG_20181110_071549.jpeg
 
Haya sasa kumekucha tena, msamiati wa kutumbua umekuwa masikioni mwetu karibu kila wiki aisee.
 
Hii elimu yetu sijui ni ya uingereza version ipi? Yaani darasa la saba ana uwezo wa kumkosoa professor na akabishana jambo au akamfundisha jambo ambalo professor ndo amepatia uprofessor wake, muhudumu kwenye kampuni ya audit ana nyumba mbili wenye CPA zao badala ya kuwa na uwezo wa kutafuta wanataka anyang'anywe wapewe wao . Yaani ni vurugu tu. Acha kukariri maisha tafuta mtu mwenye likesi la kodi TRA huko ongea nae tengeneza financials zenye akili nenda na hoja TRA mchomoe kwenye kodi kubwa isiyolipika akulipe ujenge nyumba yako. Umekalia elimu yako unagombania vinyumba na wanawake wahudumu?
 
Bodi ya Kurugenzi COASCO imemtumbua Kaimu Mkurugenzi Mkuu mzee Wadaa.

Wafuatao wajiandae
- Ismail Mshare
- J. Mgetta na
- Mr Golden Kajaba
Hawa wote ni genge moja.

Naomba Kaimu mpya mchunguze binti (Miss COASCO) huyu ni untouchable kwenye shirika hili na ni mmoja Kati ya wanaotumia majina ya cheti Cha mtu. Jina lake halisi ni Manka.

Huyu dada amepewa nyumba mbili za shirika hapa Dodoma (Makole) na nyumba nyingine Dar (Upanga)

Kwa cheo chake Cha uhudumu anapewaje nyumba mbili wakati Auditors tumenyimwa nyumba......View attachment 928340
Ni nadra kusikia bodi imetumbua mtu...naona somo la uwajibikaji limeanza kueleweka
 
Wamesoma alama za nyakati, lakini nao siku zao zinahesabika, swali ni jee siku zote hawakuwa wanaona mapungufu ya huyo saa hadi ya Dar?
 
Pamoja na kupenda kufichua maovu ila wewe umekuja kama vile una chuki binafsi na huyo binti.
 
Hizi ndio habari za awamu hii, hakuna mambo ya maana, ni ujinga ndio umetawala. Ndio maana uchumi umeporomoka na utaendelea kuporomoka.
 
Haya Mkuzenzi(Mkurugenzi) Tumekusikia
Hapo Kwa Sauti Ya Raia Number One
 
Kwaio mnataka mpewe nyumba mkaishi kwenye nyumba za vyumba viwili yani auditor na akili zake zote analalamikia nyumba ya vyumba viwili?
nyumba yenye Vyumba viwili,sebule ,jiko na choo na bafu na stoo ni nyumba ndogo?
 
Hii elimu yetu sijui ni ya uingereza version ipi? Yaani darasa la saba ana uwezo wa kumkosoa professor na akabishana jambo au akamfundisha jambo ambalo professor ndo amepatia uprofessor wake, muhudumu kwenye kampuni ya audit ana nyumba mbili wenye CPA zao badala ya kuwa na uwezo wa kutafuta wanataka anyang'anywe wapewe wao . Yaani ni vurugu tu. Acha kukariri maisha tafuta mtu mwenye likesi la kodi TRA huko ongea nae tengeneza financials zenye akili nenda na hoja TRA mchomoe kwenye kodi kubwa isiyolipika akulipe ujenge nyumba yako. Umekalia elimu yako unagombania vinyumba na wanawake wahudumu?
Inavyosomeka na wewe ni le profeseri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom