Kaimu Mkurugenzi Mkuu COASCO atumbuliwa rasmi.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu COASCO atumbuliwa rasmi.

Bodi ya Kurugenzi COASCO imemtumbua Kaimu Mkurugenzi Mkuu mzee Wadaa.

Wafuatao wajiandae
- Ismail Mshare
- J. Mgetta na
- Mr Golden Kajaba
Hawa wote ni genge moja.

Naomba Kaimu mpya mchunguze binti (Miss COASCO) huyu ni untouchable kwenye shirika hili na ni mmoja Kati ya wanaotumia majina ya cheti Cha mtu. Jina lake halisi ni Manka.

Huyu dada amepewa nyumba mbili za shirika hapa Dodoma (Makole) na nyumba nyingine Dar (Upanga)

Kwa cheo chake Cha uhudumu anapewaje nyumba mbili wakati Auditors tumenyimwa nyumba......View attachment 928340
Shinikizo kutoka juu
 
Manka sio jina wewe!!! ulivyosikia anaitwa Manka na ndugu zake ukafikiri ni jina? nikusaidie manka ni heshima anayopewa nzaliwa wa pili wa kike katika koo za kichagga. Kwenye kila nyumba ya mchagga aliyejaliwa mabinti wawili katika uzao wake yule wa pili anaitwa Manka. Hivyo kuanzia leo waelimishe na wengine huyo sio magumashi jina lake la ubatizo ndio hilo unalimwona nalo kazini na hilo manka ni by virtue ya kuwa mzliwa wa pili. Acha chuki acha roho mbaya kwa mtu aliyefanikiwa kimaisha... usitegemee mshahara jiingize kwenye ujasiriamali kama hao akina manka wafanyavyo ili ku matiply vipato
 
Jina lake Ni Manka Jerome Shirima Kaka...acha ubishi utakufa na kihoro
 
Watanzania huwa ni wapuuzi sana, yaani mtu anaona muhudumu kupewa nyumba 2 na ma odita kutengwa ni sawa.

Jamii yenye mawazo ya hivi imeoza, jamii inapalilia rushwa (ya ngono, upendeleo ) na kulazimisha iwe haki

Nimeshangaa sana, badala ya kuomba uchunguzi mtu anakimbilia kusema wivu, Tz bado sana
 
nyumba yenye Vyumba viwili,sebule ,jiko na choo na bafu na stoo ni nyumba ndogo?
Fanyakazi acha majungu. Alichotoa huyo dada Ukiombwa utatoa? We kuwa mkweli unaweza kupata sio hiyo ya vyuma 2 sebule na stoo. Mbona mijengo ipo wanakaa walinzi tu. ELEWEKA UTUNZWE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom