Kaimu Katibu Mkuu Yanga SC: Wazee wa Yanga na Viongozi wa Matawi ' Matamko ' yao dhidi ya Mechi na Simba SC ni batili na yapuuzwe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,606
108,978
" Wasemaji wakuu Kikatiba na Kiutendaji ndani ya Yanga SC ni Mwenyekiti, Katibu au Kaimu na Msemaji kwa Maelekezo. Ninachojua Yanga SC itacheza Mechi zote ilizopangiwa na TFF na hayo maneno mengine ya Wazee na Viongozi wa Matawi si ya Klabu na yapuuzwe pia. Wazee ndani ya Yanga SC tunawatambua tu Kiheshima, ila hawako Kikatiba na Uongozi tunashangaa tulichowatuma kwenda Kukiongea si hiki ambacho wamekiongea na badala yake sasa wameharibu zaidi "

Chanzo: EFM Sports Headquarters leo.

Haya sasa wale Wanayanga ' Visokolokwinyo ' mliopo hapa mliokuwa mkiwaunga mkono Wazee kwa ' Upuuzi ' wao na ' Njaa ' zao njooni mumpinge Kaimu Katibu Mkuu wenu Yanga SC Haji Mfikirwa.
 
Msemaji mkuu wa klabu ya Yanga ni mwenyekiti na msemaji tu wa klabu basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa pro wanaosajiliwa Yanga wapime kabla hawajamwaga hii ni club au danguro. wasije kuanza kulia lia kama Lamine Moro
 
Msemaji mkuu wa klabu ya Yanga ni mwenyekiti na msemaji tu wa klabu basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nakuheshimu na usinilazimishe nawe pia nikaanza Kukudharau kwa kutokuwa na Akili sawa?

Mtafute Mtu yoyote wa Yanga SC au ingia Mtandaoni Kwao ( Yanga SC ) angalia kuhusu Dhamana ya Usemaji Kikatiba wanayo nani.

Wenye Dhamana Kuu ni Mwenyekiti au Katibu Mkuu ( Kaimu ) na Msemaji tu wa Klabu tena kwa Maagizo ya Wakuu wake.

Ndiyo maana unaona hata Media nyingi kwa Jambo la Muhimu la Vilabu humtafuta Mwenyekiti au Katibu na wa mwisho ni Msemaji.

Huwa sipendi Kukutana na Wapumbavu.
 
Back
Top Bottom