Kaimu Jaji Mkuu wa TZ, pole Prof.

He he he hee.
Jaji Juma sijui ana hali GANI

May Allah bless Me and You
 
Kwani Kenya umetenguliwa wa Ubunge? Je Sheria inaruhusu kufungua hiyo kesi kama ya Kenya kwa Urais hata kama una vielelezo? Ulikua umezaliwa wakat Amaan Karume alivyoharakishwa kuapishwa? Hata Kenya ilitokea kwa Kibaki ndio wakastuka hii Sheria inayoruhusu kuapishwa haraka then Huna mamlaka ya kuhoji sio nzuri! Kwa aina ya Watanzania kama wewe tutaendelea kushangilia wenzetu na kupenda watu au vyama kuliko nchi
 
Ukipata kufanya kazi kwa zaidi ya mwaka bila kuajiriwa,na huoneshi kudai haki yako ya kuajiriwa wewe ni BOGUS
 
Jamani mhurumieni JJ means JAJI JUMA

May Allah bless Me and You
 
Pole sana, Ni uhuru na haki yako kumshangilia Odinga, lakini baada ya hapo, watakiwa kuangalia maswala ya msingi zaidi.
Kama katiba ya Kenya ingekuwa mbofumbofu kama ya kwetu, hata hiyo kesi ya kupinga matokeo isingekuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyeanzisha uzi achunguzwe, inawezekana anahusika kuchoma ofisi za Wakili Fatma
 

Unajitahidi sana kumuelewesha lakini sina imani kama atakuelewa unacho maanisha Mkuu ,mimi niseme tu tofauti yetu na Kenya ni kwenye Katiba ambapo mfumo wa upatikanaji wa hawa Majaji ni tofauti kabisa.Hapa kwetu Boss wao ni huyu Bwana Mkubwa kwenye jumba jeupe wakati Kenya hali ni tofauti..

Mfumo wetu unatoa mwanya sana kwa Wanasiasa kuingilia utendaji kazi wa Taasisi zetu ,Wakuu wengi wa Taasisi za Serikali kuteuliwa na Mtu mmoja ni jambo la hatari kama alie juu atautumia Ukuu (Madaraka) wake vibaya ..Pia aina ya Wananchi wa Tanzania tulio nao ni kichocheo kikubwa kwa hawa Watawala kufanya wanavyo taka wao..
 
Uhalisia gani unaoutaka, huoni kageuzwa mwanasesere? Jaji gani anaelekezwa cha kufanya na muhimili mwingine? Mpaka anaagizwa kuhamisha mahakimu bado amekaa kwenye kiti hicho anasubiri nini?

Tena kwa level za Watu kama Majaji bado wanapangiwa na Wanasiasa ?..

Elimu yao yote na weledi wao wote wanaotakiwa kuwa nao wanaufyata mbele ya Wanasiasa Uchwar
 
Sina chama ila sipendi uongo ukishamiri.

Jei-piem hakumpongeza UHURU? Naye unalisemea vipi?

Wakati mwingine msinywe gongo na sambusa, havisaidii!
Alimpongeza sababu ni Rais mwenzake na wapo Jumuiya ya Africa Mashariki ni lazima watashirikia kwa ajili ya hiyo jumuiya.
Kumbuka siyo kila pongezi inamaanisha.
Sasa kama hutaki ninywe Gongo unataka ninywe Castle Lite?
Efu yuu.....
 
Kesi alifungua Uhuru? Au naye aliridhika na mazaifu yaliyojitokeza au alijisahaulisha matatizo?
 
Huyo nae ni kada anakaratasi ya kijani hom kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa katiba inasema hakuna kuhoji matokeo ya kura za urais, sasa uakusanya evidence zanini?
 
Maprofesa wengi Tanzania ni kama vile haziwatoshi
 
Ukada wake unatakiwa kubaki ktk Familia yake Mluu ,anatakiwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa utaratibu na kanuni zilizopo..Asichanganye mambo ya Nchi na Chama ...
Huo uwezo hana mana anamtiii aliempa kazi,ndio mana umeona dharau za tanroad huko kimara kudharau mahakama ....awamu hii sizonje ndio kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusimumunye maneno,UONGOZI wa Tanzania ni wa kipumbavu,na huo upambavu umesababishwa na hawa hawa watanzania kwa kuulea huu ujinga wa viongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…