Kaimu Jaji Mkuu wa TZ, pole Prof.

Mahakama imesema uchaguzi haukuwa huru na haki sio Uhuru aliiba kura na madhaifu mengi yameonekana kwa tume ya uchaguzi na sio kwa mgombea Uhuru .Mimi nadhani ifikie pahala muwe mnajitahidi kuelewa msiendeshwe kwa mihemuko ya kisisiemu.Kenya wamebatilisha uchaguzi ila Zanzibar mlifuta uchaguzi ona mlivyo na laana enyi chama cha makinikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unabadili topic buree.
Em rudi njia kuu, ujadili huu uzi kwa kina.

Tuone kama una mapungufu yoyote.
Binafsi namuunga mkono mleta uzi kwa 100%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Lissu anaposhinda kesi dhidi ya Serikali mnatoka povu na kumsifia yaani mnasahau kusifia mahakama iliyotoa hukumu?
Kesi zenye kuhusu mambo ya siasa moja kwa moja huwa haziamuliwi kwa faida ya watanzania hata siku moja. Nakumbuka wakati fulani Mtikila alikuwa anapinga uchaguzi wa Ludewa kufanyika hukumu ilitolewa Ijumaa jioni na uchaguzi unafanyika Jumapili. Unapotoa hukumu kama hiyo lengo lako ni nini hasa?

Kesi ya Mtikila ya Mgombea binafsi unakumbuka maamuzi yalikuwaje? Kesi ya kenya inahusu masuala ya katiba na mahakama yetu kwenye mambo yanayohusu Katiba ni dhaifu sana kiasi kwamba si ya kutegemewa hata siku moja.
 
Ibara ya 74 (12) inasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena sasa hivi wanaiponda mahakama ya tanzania wakati kamanda wao Lissu akiwa na kesi kule ikatokea anashinda basi Huipongeza mahakama wakisema inatoa haki.
Tundu lisu anashinda kesi kwasababu hua anazingatia vigezo na masharti.
Mfano Mwakyembe ambaye ni Mwana CCM na mjumbe wa TLS alikua hataki Tundu lisu agombee Uraisi wa TLS kwasababu alizodai ni mwanasiasa(CDM).

Hapa mwakyembe ambaye ni Msomi wa sheria, alijali zaidi Bora politician atoke chama tawala agombee.

Sasa Tundu lisu akamshinda kwasababu vigezo na masharti kavifuata na leo yeye ndio Raisi mpaka Mwaka uishe.

Mwakyembe aliposhindwa kumdhibiti Tundu Lisu ndipo JPM akamuhamisha wizara, akampeleka ya wasanii. Ambapo alifanikisha utekaji nyara wa wasanii kadhaa bila wananchi kushtukia.

Hii haiifanyi mahakama kua Huru hata kidogo.
Taaluma ya sheria imebakwa na chama tawala.

Lipumba amerudi kwa figisufigisu za serikali na mahakama.

Pia Mahakama haina jeuri kusikiliza kesi za uchaguzi wa uraisi. Hapa utaona kua tume ina meno yote katika kuhujumu matokeo ya Uraisi nchini.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole pia kwa Watanzania

Uyo Prof si angejiajiri tu au hana mtaji
 
Reactions: SDG
Vpi kuhusu kufungua shauri la kupinga matokeo ya uraisi katika mahakama zetu za Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…