Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

rangizake halisi kwa maana ya unafki!!!!
true pitia nyuzi zake then utajua namaanisha nini
Great Minds discuss ideas zilizomo kwenye bandiko hili, na ma Great Thinkers wanajibu hoja kwa hoja, Ordinary Minds wanadiscuss event ya kilichotokea, na Simple Minds discuss people, Kailima hivi na vile, au Pasco hivi na vile, thanks to jf, we accommodate all, Great Minds, Ordinary Minds na Simple Minds all alike kwenye equal platform, sisi tunaojadili mada na issues za mustakabali wa taifa letu, wanaojadeili matukio, waendelee kujadili matukio, na nyinyi mnaojadili watu, endeleeni kujadili watu, as long as that is what makes you happy.

Paskali
 
Mkuu, Area 51, mimi kazi yangu as a reporter ni kuripoti tuu kile nilichoelezwa with truthfulness, objectivity, na accuracy, sasa hapa nimeripoti nilichoambiwa ni kweli 100% ndicho nilichoelezwa, na accuracy pia ni 100% kwa sababu nimekuwekea kila alichoongea. Sasa hayo aliyaongea mkurugenzi wa NEC kama ni uongo, its not up to me to judge, bali mwenye ukweli tofauti ndio aulete humu tu compare notes.

Ningekuwa nafanya analysis au nimeandika opinion article, hapo ndipo ningeweka mawazo, mtazama na msimamo wangu, ila nilichoelezwa ndio hiki na ndio ukweli niliousikia.

Paskali
Ungeiweka kama reported speech,by using words such as"ameseme," without showing that you have taken sides." Wewe umeonyesha wazi kwamba umesimama upande gani,hilo ndilo tatizo.Anyway it is understandable.Ila next time tuachie na sisi nafasi ya kuwaza,don't bias us.
 
Ungeiweka kama reported speech,by using words such as"ameseme," without showing that you have taken sides." Wewe umeonyesha wazi kwamba umesimama upande gani,hilo ndilo tatizo.Anyway it is understandable.Ila next time tuachie na sisi nafasi ya kuwaza,don't bias us.
Hilo ndio alilolionesha wazi wazi, halafu tunamwambia ukweli anaona tunakosea kumbe yeye ndio kakosea.

Kaharibu huu uzi alipotoa mtazamo wake na kuegemea huko
 
Hilo ndio alilolionesha wazi wazi, halafu tunamwambia ukweli anaona tunakosea kumbe yeye ndio kakosea.

Kaharibu huu uzi alipotoa mtazamo wake na kuegemea huko
Nadhani kila mtu has his or her own rights to his/her opinion, hivyo hata mimi I have right to my own opinion.
Lazima tujenge utamaduni wa watu humu kuheshimu mawazo ya wengine bila kunyoosheana vidole hata kama hatukubaliani nao.

Paskali
 
pumbavu ,hivi mwadhani wote ni misukule?
Jaimee, kwanza asante.

Utafiti umeishafanywa na ukathibitisha kila Watanzania 4, mmoja ni msukule, kwa vile Tanzania tuko watu milioni 50, hii maanayake watu milioni 12,500,000 ni misukule, hivyo pia kuna possibilities, kati ya misukule hiyo, inawezekana kabisa kura zote zile milioni 8 za Magufuli ni za misukule, au zile milioni 6 za Lowassa ni za misukule, pia humu jf, kila wana jf wane, mmoja ni msukule!, hivyo hata hao misukule, pia wana haki ya kupata habari, hivyo hili bandiko ni la msukule kwa ajili ya misukule, hivyo wachangiaji wote 545 waliochangia bandiko hili nao ni misukule including msukule Jaimee.

Next time, ukikutana na bandiko la misukule, ukiwa wewe sio msukule, unajipitia tuu, na kuendelea zako kwa kuwaacha misukule na misukule yao!, usichangie mabandiko ya misukule na wewe ukaonekana kama ni msukule kumbe sio msukule!, kati ya watu 14,115 waliotembelea uzi huu, watu 13,570, walijipitia tuu, na wewe ungejipitia tuu, kwa sababu haiwezekani mtu asiye msukule kuchangia bandiko la misukule!.

Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.

Paskali
 
Mkuu usimbini, nakubaliana na wewe, tena haswa kwa kuzingatia chama hicho ni chama dola kama ilivyo CCM.
hili la CCM kutawala milele, tumelizungumza sana humu,
https://www.jamiiforums.com/threads/wenye-matumaini-na-upinzani-kushika-dola-sahauni-ccm-inajiandaa-kuua-kabisa-na-kuuzika-jumla.743314/
CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.

Kama sio tuu imeishajulikana na kuthibitika kuwa ni ngumu sana kuondosha CCM madarakani kwa kutumia vijikaratasi tuu kupitia kwenye sanduku la kura, then ungeshauri tufanyaje ili CCM iondoke madarakani?.

Paskali
1.Tuache unafik
2.Tupiganie katiba Mpya.Katiba ya sasa inakipa chama tawala nguvu kias ya kwamba asilimia 99 ya viongozi waandamizi wa nchi wakitaka ama wasitake ni lazima wamtii mkuu wa chama kinachotawala kwa namna yeyote ile ili kunusuru vibarua vyao.Ni kwamba yeye ndio anaeteua moja kwa moja viongozi hao ana option ya kuitana na kulishana yamini kua nakuteua hakikisha unanifanyia mambo fulani.
3.Kuna taasisi ya kupambana na rushwa hii pia ipigiwe kelele kwamba rushwa haina mipaka kwamba rushwa ya siasa ni mambo ya kawaida .Hapana ni mbaya zaidi kwani hutuzalia viongozi wanafiq.Ila kimsingi nae kiongozi mkuu wa hiyo taasisi huteuliwa na mkuu wa chama tawala ni rahisi kumbwambia hapa sitaki uguse.
4.Vyama vya upinzani viache siasa za kikanda,ukabila na udini .CUF ilikua chama kikubwa na chenye msimamo lakini ikaja chuki eti ni chama cha kiislam.CHADEMA kwa sasa ni chama kikubwa ila inatiwa sumu kwamba kuna ukabila na ukanda.
5.Viongozi wa upinzani wawe na weledi wasichaguane kirafiki ,kamahaba na kindugu.Na pia wawe wakweli .CHADEMA kwa sasa kinapata challenge na baadhi ya viongozi waandamizi kwa kutotaka kueka hadharani wasifu wao kitaaluma .Mfano mimi ni mpinzani ila kwakweli muheshimiwa mbowe ananikwaza nimejitahidi kusaka wasifu wake kitaaluma umenishinda.
6.Vyama pinzani ni muda sasa wakubadilisha agenda .Kutafuta kick kulishapitwa na wakati
 
Tume huru ya uchaguzi inayotumia wakurugenzi (makada wa chama kimojawapo) kama returning officers? Nchi hii haitakaa kamwe mpinzani ashinde uchaguzi kwa mfumo wa uchaguzi uliopo.
 
Ivi mbona mnalazimisha sana watanzania tuikubali ccm eeeh??? over 70% hatuikubal ccm... Jk alisema bora chama hakija mfia mikononi mwake
 
Mnahangaika na ma bwanyenye machumia tumbo eti tume huru pumbavu kabisa halina hata aibu jitu zima akili ziro lkn day ar numbered one day it well be.
 
Hili li Kailima ndiyo maana watu walikuwa wanalibokolea mkewe kwa mambo yake ya kisenge haya
 
yule mkurugenzi ukimfuatilia juujuu utamuona kama hajali, ila mimi huwa namuona yuko makini sana kufuata taratibu.
Hata kama anamapungufu yake, ila ni mara chache sana utakuta analaumiwa kwa facts.

daaa injiiii hii ya wadanganyika kazi kubwa sana
 
Wanabodi,

Baada ya figisu figusu za uchaguzi wa marudio wa madiwani, nimebahatika ya kufanya mahojiano na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhani Kailima, yaliyofanyika ofisini kwake jioni hii, kuhusu uchaguzi huo, katika kipindi cha Habari Zaidi ya Habari na PPR, ambacho kinarushwa kupitia Vituo 5 vya TV, TBC, ITV, STAR TV, Channel Ten, Azam TV, Clouds TV na kwenye Youtube.


Hizi ni Baadhi ya Dondoo za Mahojiano Hayo.
  • Zoezi la Uchaguzi limekwenda vizuri kwa asilimia 95%, hakukuwa na kasoro yoyote kubwa kuathiri uchaguzi huo, hivyo uchaguzi umekamilika na taarifa rasmi, itatolewa punde itakapokamilika.
  • Uchaguzi huo ulikuwa ni uchaguzi huru na wa haki, licha ya kutokea mapungufu madogo madogo, lakini matokeo ni matokeo halali, aliyeshinda ameshinda kihalali kwa haki, aliyeshindwa, pia ameshindwa kihalali kwa haki.
  • Hakuna hata chama kimoja, kilicholalamikia jambo lolote kuhusu uchaguzi huo, mpaka sasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, haijapokea malalamiko yoyote, kutoka chama chochote, au mgombea yoyote kwa mujibu wa utaratibu wa kujaza fomu za malalamiko.
  • Hakuna chama kilichojitoa rasmi, ila kama ilivyo kushiriki uchaguzi ni hiyari, vivyo hivyo vyama viko huru kujitoa wakati wowote, lakini mpaka zoezi la uchaguzi linamalizika, hakuna chama kilichojitoa rasmi kwa mujibu wa taratibu za kujitoa.
  • Mawakala wa vyama, wanapatikana kwa mujibu wa sheria, taratkanuni, mtu ambaye hajakidhi taratibu za uchaguzi, hawezi kuruhusiwa
  • Ameelezea kuwa Tume yake ni Tume huru, inayoendesha chaguzi kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni, hakuna chama chochote, kimewahi kulalamikia kipengele chochote cha uchaguzi kinachonyima haki, kitakachoifanya tume isiwe huru.
  • Amesisitiza Tume yake haijawahi kuingiliwa na chombo chochote, wala kupokea maagizo au maelekezo kutoka kwa yeyote.
  • Tume yake haijawahi kufanya upendeleo wowote kwa chama chochote, hata CCM nayo pia inailalamikia tume yake, hata uchaguzi wa Madiwani CCM Arusha wamelalamika.
  • Pia nimeuliza kuhusu Mkurugenzi, Mwenyekiti wa NEC na makashna kuteuliwa na rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kimoja, wataweza kutenda haki?, pia amelijibu.
My Take.
Its high time vyama tuanze kutake responsibilities kwa matokeo ya utendaji wa vyama vyetu kwenye chaguzi, kwa pale ambapo uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, tukubali kushindwa kihalali, asiyekubali kushindwa sio mshindani, badala ya kutafuta visingizio.

Kama hali ya uwezo wa ushindani kwa vyama vyetu vya upinzani nchini Tanzania, jee hali itakuwaje uchaguzi wa 2020?. Kama wapinzani hawatabadili strategies, za namna ya kushindana na CCM kwenye sanduku la kura, kuna hatari ya CCM, kuyarejesha majimbo yote ya upinzani mwaka 2020, hivyo Tanzania kuanza safari ya kuelekea kuwa ni nchi ya vyama vingi jina tuu, lakini ukweli tunaelekea kuwa nchi ya chama kimoja.

NB. Kipindi kikiwa tayari, nitakipandisha humu umsikilize mwenyewe.

Wasalaam.

Paskali
Update 1.

Mkuu Joka Kuu, kwanza asante sana, kwa sababu tangu bandiko hili limepanda hadi kufikia michango 537, mchango wako ndio the most deep, the most objective, the most professional and the best analysis of the contents, kwa sababu it is the content that matters, japo the clip ni just 10 min clip, ni watu wachache sana wameiangalia na kumsikiliza, but wewe you did. Thanks for this.

On Professionalism
Uko very right one one interviews program zinahitaji 3 cameras, ya interviewer, ya interviewee na ya wide ili kuyaonyesha maswali, majibu na setting.

Hata kama zimekosekana kamera 3, then kupitia camera moja ilibidi kuyauliza maswali on camera, na kuisert majibu, na kupiga cutaways. Hivyo ni kweli kabisa the interview was unprofessional. Nakubali makosa.

On Preparation na Research.
Kabla ya kufanya any good interview, inakubidi ufanye a little research and gether all the facts, ufanye a background check on your subject who is Kailima, elimu yake, ametokea wapi hadi kuibukia NEC, uwezo wake na utendaji wake, Jee ana uwezo, ana deliver etc. Hili halikufanyika, huu pia ni udhaifu on my part.

Interview Questions.
Ilibidi nitayarishe maswali ya msingi yanayoitwa leading questions at least matano kuhusu uchaguzi huo yakifuatiwa na follow-up questions.
Kila mwandishi analo eneo la strength na weaknesses zake, hivyo kiukweli kwa upande wangu, my strength ni kwenye interviewing haswa kwenye ku shoot maswali ya kushtukiza, lakini kwenye interview hii, hili pia halikufanyika, ni kama nimempa Kailima mteremko he just flow, hili ni kosa on my part ila ni kwa sababu, for a reason!.

The Reality And The Truth Kuhusu Hii Interview.
Kwanza naomba kukiri wazi hii interview, was impromptu, haikupangwa. Nimekutana na Kailima kwenye ngazi akielekea ofisini kwakwe, nikamuomba news interview ya just 5 minutes kuhusu uchaguzi wa marudio wa madiwani, akakubali. Hivyo there was no time for preparations, kutayarisha camera mbili, wala hakukuwa na maswali yoyote yaliyotayarishwa, maswali yote yalitoka kichwani, na majibu yote ya Kailima yalitoka kichwani.

Kwa Nini Nilimuuliza Maswali Rahisi Rahisi Bila Follow-up Questions?.
Kusema ukweli kupata chance ya impromptu interview na Mkurugenzi wa Uchaguzi Tanzania, was like a favour to me, not a right, hivyo kiukweli Kailima ameniheshimu sana kunikubalia interview ile hivyo hata maswali yangu ilikuwa lazima ya reciprocate favours niliyoipata, kwa kuto mbo bombard na maswali magumu, ili kumjengea mazingira mazuri ya future interviews kuelekea 2020. Ukiaminiwa, Jiaminishe, niliaminiwa na Kailima, ilinibidi tuu niwe mdogo to start with lakini kuna good things kuhusu Tume ya Uchaguzi vinakuja in future. Keep waiting, keep watching.

Paskali

BILA KATIBA MPYA HAKUNA KITACHOWEZEKANA LABDA WAKATI WA MATOKEO MWENYEKITI WA TUME APIGWE NA DUDU AMPE MATOKEO MPINZANI
 
Mkuu BAK, uchaguzi ni process yenye sheria, taratibu na kanuni, zikiwemo taratibu za kuripoti malalamiko yoyote, kama hayo yote yametokea na hakuna yoyote aliyelalamika rasmi, hadi uchaguzi unakamilika, hakuna yoyote aliyelalamika!, na hata kule kujitoa kwa Chadema, haikujitoa bali ilisusa tuu, kama ilivyo kanuni, unakuwa mgombea kwa kujaza fomu, na kujitoa ni kwa kutoa taarifa rasmi ya maandishi, na sio kuwaambia tuu waandishi wa habari. Tangazo lile ya kujitoa, lilipaswa kufuatiwa na kujaza fomu ya malalamiko, na kutoa taarifa rasmi ya kujitoa. Kama hakuna malalamiko yoyote registered, then tume iko right, no one complained!.

Paskali
Pascal, mchakato wa uchaguzi unakamilika siku ya uchaguzi. Siku ya mwisho ya uchaguzi ndio inatoa taswira juu ya mchakato mzima wa uchaguzi tangu kampeni hadi siku ya uchaguzi. Kama kuna rafu siku ya uchaguzi hapo ndio imetoka kinachofuata ni matokeo na kulalamika mahakamani.

Kilichotokea siku ya uchaguzi hakiwezi kuleta matokeo tofauti, siku ya uchaguzi halafu msimamizi wa mgombea anakamatwa na polisi na mawakala wanazuia kuingia chumba cha kupiga kura unataka Chadema wafanye nini? Yaani ktk hali hiyo bado unawatetea NEC na kuwalaumu Chadema kuwa kuna kanuni za malalamiko! Walalamike kwa NEC yenyewe ambayo ilikubali mawakala wasishiriki uchaguzi kwa kuhesabu kura! Mawe!

Vv
 
paskalli hao wanaokutumia kupindisha ukweli wanakulipa sh ngapi au unafanya haya kwa mahaba ya usukumani?
 
Back
Top Bottom