Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

Najua haukuwa uhuru na wa haki,ila upinzani walijisahau kuwa Tanzania ni Afrika, walitumia vibaya demokrasia kwa kutusi watu, na kupiga watu kwa kutishia nguvu ya uma nilichofurahi ni kuonyeshwa nguvu ya dola ili wawe na akili wakipewa uhuru wa kuongea miaka ingine ijayo na kiongozi mwingine kama Kikwete wawe na nidhamu.

Ilifika mahali Lema anasema atamsaidia mke wa Kikwete kwasabu mzee ana tezi dume. Hapo ndipo tulilofika hii nchi kwa kusema ni demokrasia.

Sasa serikali imebadilika haitishiki, haitukaniki na ikiamua hata ya ubunge itakuwa hivyo,walijisahau hadi kufikia mtu akivaa CCM vijana wanamzomea na kumpiga,sasa nguvu ya uma ikishindwa vumilieni.
 
Mkuu hawa wahuni wa chama cha wauaji, wezi na mafisadi wanajua fika kwenye uchaguzi huru na wa haki watashindwa vibaya sana ndiyo sababu wanafanya kila wawezalo kuhakikisha kwamba chaguzi zisiwe huru na za haki ili waendelee kufanya uhuni wao kwa chaguzi kwa kutumia polisiccm na mitutu yao ya bunduki na kitengo cha Ikulu cha wizi wa kura.

kailima mwenyewe ana kadi ya ccm mfukoni...... hii nchi jamani siasa zake zinachocha akili
 
Mkuu BAK, uchaguzi ni process yenye sheria, taratibu na kanuni, zikiwemo taratibu za kuripoti malalamiko yoyote, kama hayo yote yametokea na hakuna yoyote aliyelalamika rasmi, hadi uchaguzi unakamilika, hakuna yoyote aliyelalamika!, na hata kule kujitoa kwa Chadema, haikujitoa bali ilisusa tuu, kama ilivyo kanuni, unakuwa mgombea kwa kujaza fomu, na kujitoa ni kwa kutoa taarifa rasmi ya maandishi, na sio kuwaambia tuu waandishi wa habari. Tangazo lile ya kujitoa, lilipaswa kufuatiwa na kujaza fomu ya malalamiko, na kutoa taarifa rasmi ya kujitoa. Kama hakuna malalamiko yoyote registered, then tume iko right, no one complained!.

Paskali

Unauhakika au kwa sabbau ni wa kwenu??Aliwapa nafasi ya kuonana nao??Naona na wewe ni wale wale tu
 
Naona kama narudia maoni yangu niliyoyatoa kwenye uzi mwingine. Shida hapa siyo strategy. Shida ni kwamba there's no level political ground, Paskali na in the circumstances - chama tawala kushinda ni expected na vyama vya upinzani kushindwa ni expected pia. The current situation favours the ruling party, Paskali. Hakuna cha strategy hapo bila ya kufuata katiba, sheria na kanuni zinavyosema kuhusu kazi za vyama vya siasa.
 
Mbona tunajua Tume ya Uchaguzi ni TAWI kuu la CCM hivyo sioni jipya hapo.Alipowapelekea BArua Chadema wasifanye Kampeni za Kimara kuanzia tarehe 21-25 November 2017 ilikuwa sahihi??

Pascal hebu acha upuuzi bwana kuna watu wamepoteza maisha jana na juzi,please acha kabisa. Huwezi kuwatetea watanzania wote basi
 
Acha utaahira wewe! Una ushahidi wa kuonyesha Chadema imepeleka malalamiko Mange? Usijidhalilishe kiasi hicho mbele ya kadamnasi!!!

Hata kama Chadema haijapeleka malalamiko haiondoi ukweli kwamba uchaguzi haukuwa huru na wa haki.

Na wewe kwa ujuha wako unadhani hicho kitengo cha dikteta uchwara cha wizi wa kura kitatenda haki kwa Chadema?

Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kufanya ubaradhuli kwenye issues za maana.
Acha matusi BAK wewe ni mtu mzima
Tamaa ya viongozi wa upinzani na kutokuwa na umoja umefanya CCM kushinda mfano huko Mtwara CCM imeshinda kwa asilimia 50.9 wakati Chadema CUF na ACT Wazalendo waligawana kura zingine. Msidanganye watanzania kuwa nyie mnaweza kuleta upinzani kwa CCM wakati sehemu kubwa ya viongozi wenu ni project ya CCM. Wacha CCM iendelee kutawala kuliko kuwa na vyama vya kitapeli.
 
Havikuathiri matokeo watu walipiga kura.wapiga kura mfano wako elfu 10 waliopiga lakini akatokea mhuni mumoja akadakwa akadundwa bara bara huyo mmoja ni asilimia ngapi ya wapiga kura?Ni tone tu kwenye bahari huwezi sema hiyo ni kasoro kubwa ni kitu kidogo mno.Aende kujiuguza na kupambana na hali yake

Akili yako ya tope kama huyo Kailima tu,hivi wale waliopigwa na kuwekwa rumande jana Arusha walifanya fujo ipi?Au kwa sababu ya kukataa kutoka kwenye chumba cha kuhesabia kura??

Mpaka sasa CCM imeshindwa kwenye chaguzi zote toka tuanze siasa za vyama vingi.
 
Anashangaza sana huyu Mkuu kwa kujifanya halioni hili la chaguzi kutokuwa huru na za haki na MACCM kufanya juu chini ili kuendeleza mfumo huu wa uchaguzi uliojaa hila, wizi na udhalimu kupitia mtutu wa bunduki ili kujihakikishia ushindi.

Naona kama narudia maoni yangu niliyoyatoa kwenye uzi mwingine. Shida hapa siyo strategy. Shida ni kwamba there's no level political ground, Paskali na in the circumstances - chama tawala kushinda ni expected na vyama vya upinzani kushindwa ni expected pia. The current situation favours the ruling party, Paskali. Hakuna cha strategy hapo ni wakati wa 'might is right'.
 
Mkuu Mkwepa Kodi, kama sheria, taratibu na kanuni zinakutaka ujaze fomu ya malalamiko ili iende NEC, WEWE UNALALAMIKIA KWENYE MEDIA TUU BILA KUJAZA FOMU, nec WANAKUWA WAKO RIGHT, HAKUNA ALIYELALAMIKA.

Ila hili la umuhimu wa elimu kwa mpiga kura nimelizungumza, na mimi nitajitolea kutoa elimu hiyo bure.

Paskali
Na mwingine(mbunge) nimeona amemwandikia rais barua ya kulalamika ambyo angeiandika kwenda kwenye tume sijui ni kujitoa ufahamu au ni maksudi
 
Wewe Mayalla hebu acha ujinga!!! Hukuziona picha za majeruhi walioumizwa kwenye sehemu mbali mbali nchini!? Hukusikia yaliyojiri kuhusu wasimamizi wa upinzani kukamatwa au kutolewa ndani ya vituo ili kuruhusu wizi kufanyika?

Utumie akili japo kidogo badala ya kukurupuka ili kutafuta TEUZI.

MONDAY , 27TH NOV , 2017
NA MELLANIA JULIUS
Meya wa Manispaa ya Ubungo kupitia CHADEMA Jacob Boniface ambaye jana alishikiliwa na polisi, ameweka wazi sababu ambayo jana ilimsababishia kukamatwa na jeshi la Polisi na kulala ndani, huku uchaguzi ukiendelea.

case.jpg

Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Meya Jacob amesema yeye alikuwa ni msimamizi wa vituo vya kupigia kura ambayo ipo kisheria, lakini baada ya muda alishangaa kuona polisi wanakuja kumkamata kwa tuhuma ambazo hazikuwa za kwlei.

“Nilikuwa nasimamia uchaguzi kama msimamizi wa uchaguzi wa chama changu, nikiwa kituoni nashangaa kuona nakuja kukamatwa na polisi, nilipofika kule wakaniambia kuwa wamepata taarifa kwamba nimejipanga kufanya vurugu na wenzangu, kitu ambacho sio kweli”, amesema Jacob Boniface.

Meya huyo ambaye ni miongoni mwa viongozi machachari wa CHADEMA amesema mpaka sasa hajajua hatma yake kama anapelekwa mahakamani au la, kwani aliachiwa huru majira ya saa saba usiku baada ya kulipa dhamana, huku uchaguzi ukiwa umeshakwisha.
kama alivaa jinsi anavyoonekana tayari ni kosa
 
Mkuu BAK, uchaguzi ni process yenye sheria, taratibu na kanuni, zikiwemo taratibu za kuripoti malalamiko yoyote, kama hayo yote yametokea na hakuna yoyote aliyelalamika rasmi, hadi uchaguzi unakamilika, hakuna yoyote aliyelalamika!, na hata kule kujitoa kwa Chadema, haikujitoa bali ilisusa tuu, kama ilivyo kanuni, unakuwa mgombea kwa kujaza fomu, na kujitoa ni kwa kutoa taarifa rasmi ya maandishi, na sio kuwaambia tuu waandishi wa habari. Tangazo lile ya kujitoa, lilipaswa kufuatiwa na kujaza fomu ya malalamiko, na kutoa taarifa rasmi ya kujitoa. Kama hakuna malalamiko yoyote registered, then tume iko right, no one complained!.

Paskali

Unategemea kesi ukimpelekea ngedere wakati kesi ni ya nyani atafanyeje.Uzuri unajua fika kwamba Tume ya Uchaguzi,Tume ya vyama vya siasa zote hizo ni matawi ya Chama cha Mapinduzi
 
Wewe Mayalla hebu acha ujinga!!! Hukuziona picha za majeruhi walioumizwa kwenye sehemu mbali mbali nchini!? Hukusikia yaliyojiri kuhusu wasimamizi wa upinzani kukamatwa au kutolewa ndani ya vituo ili kuruhusu wizi kufanyika?

Utumie akili japo kidogo badala ya kukurupuka ili kutafuta TEUZI.

MONDAY , 27TH NOV , 2017
NA MELLANIA JULIUS
Meya wa Manispaa ya Ubungo kupitia CHADEMA Jacob Boniface ambaye jana alishikiliwa na polisi, ameweka wazi sababu ambayo jana ilimsababishia kukamatwa na jeshi la Polisi na kulala ndani, huku uchaguzi ukiendelea.

case.jpg

Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Meya Jacob amesema yeye alikuwa ni msimamizi wa vituo vya kupigia kura ambayo ipo kisheria, lakini baada ya muda alishangaa kuona polisi wanakuja kumkamata kwa tuhuma ambazo hazikuwa za kwlei.

“Nilikuwa nasimamia uchaguzi kama msimamizi wa uchaguzi wa chama changu, nikiwa kituoni nashangaa kuona nakuja kukamatwa na polisi, nilipofika kule wakaniambia kuwa wamepata taarifa kwamba nimejipanga kufanya vurugu na wenzangu, kitu ambacho sio kweli”, amesema Jacob Boniface.

Meya huyo ambaye ni miongoni mwa viongozi machachari wa CHADEMA amesema mpaka sasa hajajua hatma yake kama anapelekwa mahakamani au la, kwani aliachiwa huru majira ya saa saba usiku baada ya kulipa dhamana, huku uchaguzi ukiwa umeshakwisha.
Mkuu BAK! Ni kweli inahuzunisha kwa kile kilichotokea hasa kwa wapenda amani na demokrasia ya kweli.

Ila kilichofanywa na Pasco ni kuripoti tu yale yalosemwa na Kailama, na ukimsoma vema hakuna alipojikomba kuhitaji teuzi.

Msome vizuri mana ujumbe unaweza kuupata haya za mwisho na ukapima nn mleta uzi anamaanisha.

That's all my bros. I humbly submit.
 
Kwanini CCM haitaki katiba mpya na rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi ili kuwa na chaguzi huru na za haki? Chadema si ilishajifia sasa wanahofia nini!?

Kutokubali kushindwa ni tabia ya vyama vya upinzani vya hili bara la giza
So sijashangazwa na taarifa za CHADEMA za kutokubali matokeo
 
Kutusi watu si sababu ya kuiba chaguzi. Kuna mwenye matusi kama huyo dikteta uchwara ambaye anawatukana hadi wastaafu kwamba wanawashwa washwa?
Serikali ikiamua kufanya lolote inaweza,ila kumbuka ikiheshimu katiba lazima uisifie,hii serikali inaonyesha ikiamua kuvunja katiba hata nguvu zenu za uma haita saidia,uchaguzi 2020 ikuwa wa halali serikali ikitaka na siyo nguvu za uma,kama uchaguzi wa chadema mbowe na baba mkwe wakiamua itakuwa ya halali,Kuweni na Uvumilivi Itapendeza.
 
Akili yako ya tope kama huyo Kailima tu,hivi wale waliopigwa na kuwekwa rumande jana Arusha walifanya fujo ipi?Au kwa sababu ya kukataa kutoka kwenye chumba cha kuhesabia kura??

Mpaka sasa CCM imeshindwa kwenye chaguzi zote toka tuanze siasa za vyama vingi.
Chumba cha kupiga kura kina sheria zake ukikiuka ukidundwa virungu na kuswekwa Ndani hutakiwi kupiga yowe
 
Narudia tena uchaguzi haukuwa huru na haki sehemu nyingi tu hata kama Chadema wangeamua kujitoa.

Kwenye uchaguzi haramu wa marudio Zanzibar CUF walijitoa kwenye uchaguzi ule. Hebu tuambie CUF walifaidika vipi kwa kuamua kujitoa?

Hata kama ni kutafuta TEUZI lakini si kwa kujitoa ufahamu kiasi hiki na kutetea wizi, dhuluma na udhalimu wa mchana kweupe.

Halafu hao ndio wanasema tuklinde amani isitoweke!
 
Kutokubali kushindwa ni tabia ya vyama vya upinzani vya hili bara la giza
So sijashangazwa na taarifa za CHADEMA za kutokubali matokeo

Uchaguzi ni huru na haki pale tu CCM inaposhinda mfano mzuri ni Zanzibar.

Hata CCM ikifanya ujahili wanaoipigia makakofi hawaoni maana wamefungwa kwenye upenzi wa ITIKADI kuliko ubinadamu.Hivi unafurahia kitu gani ukiamua kumuua mwenzako kisa uchaguzi??

Ni aibu kufurahia kitendo cha Polisi na jeshi kupiga watu na kusweka watu ndani kisa CCM ishinde,huyo Kailima ndiye wanayemsema mlokole au huyo ni mwingine??

Any way ni wa kutoka kule kule sitoshangaa
 
Wewe utakuwa na uvumilivu kama Baba yako angekuwa mmoja wa waliouawa au kuumizwa kwa mapanga kisa tu uchaguzi wa Madiwani!?

Hebu tia akili kichwani badala ya kukurupuka. Walioumizwa na kuuawa ni Watanzania wenzio weka utu japo kidogo kuona kama walistahili kuumizwa au kuuawa huku wakiwa hawana hatia yoyote ile.

Back
Top Bottom