Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Hahaa haa the funny part unakuta kawaomba hata watu watano kwa mpigo
mwingine unakuta anakutajia shida hiyo ukimtazama wala hafanani nayo
mtu anakwambia ana shida ya nauli ya mkoa haifiki hata elfu 30
wakati simu zake mbili tu anagusa milioni....unabaki unajiuliza maswali
Huwa wanajaribu tu lakini wanakuta mtu mwenyewe tayari niko dakika 5 mbele....Nyani Ngabu kumbe na wewe hawa viumbe wanakuchezea akili zako hahaha
Hata Magufuli wanamchezea akiliNyani Ngabu kumbe na wewe hawa viumbe wanakuchezea akili zako hahaha
my baby kumbe wewe ni wa extent hyo?Hata kuonana hatujaonana. Hajui hata naitwa Nyani nani [jina langu la ukoo], lakini huwa tunachati tu hapa na pale.
Juzi ananicheki kwa WhatsApp...bebi hivi bebi vile.
Mara ananipiga mzinga. Eti anaumwa halafu anataka kwenda kumsalimia mama'ake huko Shinyanga.
Nilipomnyima akaja juu. Eti kwa nini namnyima huku wakati anashida. Akasema anaifuta namba yangu.
Nami nilivo kichaa nikaifuta yake kabla hata hajaifuta yangu.
Hata kama ndo ujasiria-vagina lakini siyo to that extent.
Utamwombaje hela mtu ambaye hata humjui kivile?
Mi hata kumwomba tu mtu anikopeshe huwa ninafikiria karibu hata mwezi mzima na mwisho wa siku naishia kupotezea tu. Siombi wala sikopi.
Lakini kwa wengine kuomba ni kama anatoa salamu! Hata mshipa wa kujistukia hana.
Ama kweli tumeumbwa tofauti.
Hahaha siku hizi mimi namuuliza mtu lengo la mawasiliano yangu na wewe ni nini kabla hata hajajua naitwa Daby.
Nikiona dalili mbaya najiweka vizuri kumpush-out.
ndio hivyo unawakomeshaHuwa wanajaribu tu lakini wanakuta mtu mwenyewe tayari niko dakika 5 mbele....
jiulize maswali yote ila toa elf 30Hahaa haa the funny part unakuta kawaomba hata watu watano kwa mpigo
mwingine unakuta anakutajia shida hiyo ukimtazama wala hafanani nayo
mtu anakwambia ana shida ya nauli ya mkoa haifiki hata elfu 30
wakati simu zake mbili tu anagusa milioni....unabaki unajiuliza maswali
my baby kumbe wewe ni wa extent hyo?
Ndo huwa iko hivyo.
Anakupiga mzinga wewe...anakuja kwangu...anaenda kwa yule....mwisho wa siku unakuta anazichanga hata milioni hivi hivi.
Halafu cha kuchekesha...anakwambia ana shida leo huku jana tu aliweka update kwenye WhatsApp akiwa sijui ndo Dragon garden kule Masaki....huku kavaa Gucci zake za Kariakoo.
Hahahaaaaaa hawa watu bana!
mnaongea tu humu ila sijawai kuona mtoaji hataDada zetu wameibuka sana kwenye ujasilia mwili
ahahahaHata Magufuli wanamchezea akili
jiulize maswali yote ila toa elf 30
Nafikiri hii ni psychological disorder ni kutafuta jina tu.Mimi katika vitu ambavyo siviwezi ni kuomba hela kwa mtu.
Sijui wengine wanawezaje tu!!!