Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,584
Hata kuonana hatujaonana. Hajui hata naitwa Nyani nani [jina langu la ukoo], lakini huwa tunachati tu hapa na pale.
Juzi ananicheki kwa WhatsApp...bebi hivi bebi vile.
Mara ananipiga mzinga. Eti anaumwa halafu anataka kwenda kumsalimia mama'ake huko Shinyanga.
Nilipomnyima akaja juu. Eti kwa nini namnyima huku wakati anashida. Akasema anaifuta namba yangu.
Nami nilivo kichaa nikaifuta yake kabla hata hajaifuta yangu.
Hata kama ndo ujasiria-vagina lakini siyo to that extent.
Utamwombaje hela mtu ambaye hata humjui kivile?
Mi hata kumwomba tu mtu anikopeshe huwa ninafikiria karibu hata mwezi mzima na mwisho wa siku naishia kupotezea tu. Siombi wala sikopi.
Lakini kwa wengine kuomba ni kama anatoa salamu! Hata mshipa wa kujistukia hana.
Ama kweli tumeumbwa tofauti.