falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,359
Wakuu,
Habari nilizopokea sasa hivi ni kwamba huko Kahama wanaCCM wamefurika katika jengo la CCM wilaya kurudisha kadi za CCM huku wengi wao wakiwa ni wanawake,hii ikiwa ni siku moja tu baada ya mh. Lembeli kuthibitisha kutogombea tena ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM.
Picha na maelezo zaidi yatafuata hivi punde mnyetishaji wetu yuko eneo la tukio.
Gari ndogo aina ya prado imepigwa mawe baada ya mtu aliekaa pembeni ya dereva kupita eneo la taharuki huku akionyesha alama ya vidole ya V.