Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,028
- 288,384
mwisho wa ccm umefika rasmi , asante Mungu kwa kusikia kilio chetu .
kwamba wanaccm wote wanagombea ?mtoa post acha uongo,me nipo hapa kahama wanarudisha form za kugombea uongozi ndani ya ccm
nenda tulia kwanza ili ulete habari kamili maana wengi makanjanja wamezidi ktka kuleta siasa za unafiki,
Kumbe ofisi ziko wazi hata siku za mapumziko...! Kweli uchaguzi umekaribia.
Dogo soma contents kwa makini!
Wanarudisha Fomu za kugombea uongozi!
Wewe mawazo yako yako Monduli
Huo ni Mwanzo tu, Lowassa Siku Anatamka Rasmi Kuondoka Ugambani Ndio Siku, Wana wa Ugambani Wataona Kazi
Mbele yao ni Shughuli Pevu.
Rais Hawezi toka Kaskazini Hii Ndio Kauli Mbaya Zaidi Kutoka ugambani, Naamini Madhara yake ni Makubwa na
Itawaghalimu= Wana wa Wafalme Wawe wanachagua Maneno ya Kuzungmza.
Wakuu,
Habari nilizopokea sasa hivi ni kwamba huko Kahama wanaCCM wamefurika katika jengo la CCM wilaya kurudisha kadi za CCM huku wengi wao wakiwa ni wanawake,hii ikiwa ni siku moja tu baada ya mh. Lembeli kuthibitisha kutogombea tena ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM.
Picha na maelezo zaidi yatafuata hivi punde mnyetishaji wetu yuko eneo la tukio.
Gari ndogo aina ya prado imepigwa mawe baada ya mtu aliekaa pembeni ya dereva kupita eneo la taharuki huku akionyesha alama ya vidole ya V.
Uongoooooooooooooooooooooo
Mkuu endelea kula hizo VINYANGO,hapo chagabite,vipi kuhusu simiyu hizo vinyango zinalika?
Hao warudisha kadi, hawakuonyesha nia kuwa kuwa wanahamia chama gani?
Chadema si ndo wanatumia alama ya V sasa kwanini waharibu hilo gari tena?
saa hii napata black double ice,vitu adimu sana,guarana.
mwisho wa ccm umefika rasmi , asante Mungu kwa kusikia kilio chetu .