Kahama: WanaCCM wafurika kurudisha kadi za CCM

Kahama: WanaCCM wafurika kurudisha kadi za CCM

Mwaka huu tutamudu kushuhudia hivi vituko vya uchaguzi kweli?
 
mtoa post acha uongo,me nipo hapa kahama wanarudisha form za kugombea uongozi ndani ya ccm
 
kahama ya ngara mtoni au hii nayoijua mimi....
hebu njoo hapa submarine hotel kwanza upate vinyango za kuku labda utajua jinsi ya kusuka uongo wako.
propaganda huku hujala haiwezmake....
Itakuwa ya kwa mromboo au Unga limited...
 
Nipo hapa cool bleez bar, nimekaa na huyu jamaa anaekupa taarifa. Naona ameanza kulewa tayari

anakunywa hzi bia za rangi ya kijani siyo, wake wangapi hapo? Isije ikawa wamekaa kikundii wakiagiza round ya castle light, ndovu anaona ccm wamerudisha fomu
 
Tutasikia mengi kama kipindi kile cha mafuriko ya maandamano ya mashehe, bodaboda, wachungaji n.k naona safari hii kaja na gia ya kurudisha kadi!
 
Wakuu,

Habari nilizopokea sasa hivi ni kwamba huko Kahama wanaCCM wamefurika katika jengo la CCM wilaya kurudisha kadi za CCM huku wengi wao wakiwa ni wanawake,hii ikiwa ni siku moja tu baada ya mh. Lembeli kuthibitisha kutogombea tena ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM.

Picha na maelezo zaidi yatafuata hivi punde mnyetishaji wetu yuko eneo la tukio.

Gari ndogo aina ya prado imepigwa mawe baada ya mtu aliekaa pembeni ya dereva kupita eneo la taharuki huku akionyesha alama ya vidole ya V.

cdm ni nishida
 
nenda tulia kwanza ili ulete habari kamili maana wengi makanjanja wamezidi ktka kuleta siasa za unafiki,

Utapasuka kichwa kwa kujutolea kujitwisha gunia la misumari pekee yako maana wenzio wajanja kina lizaboni,washabwaga manyanga
 
kahama ya ngara mtoni au hii nayoijua mimi....
hebu njoo hapa submarine hotel kwanza upate vinyango za kuku labda utajua jinsi ya kusuka uongo wako.
propaganda huku hujala haiwezmake....

Mkuu endelea kula hizo VINYANGO,hapo chagabite,vipi kuhusu simiyu hizo vinyango zinalika?
 
kahama ya ngara mtoni au hii nayoijua mimi....
hebu njoo hapa submarine hotel kwanza upate vinyango za kuku labda utajua jinsi ya kusuka uongo wako.
propaganda huku hujala haiwezmake....

Pole sana kwa kujitoa macho
 
Back
Top Bottom