Makambako steel industrial park imesha pigwa lami Barabara zote za ndani ya industrial park na itatumia reli ya TAZARA kusafirisha bidhaa zao kwenye masoko mbalimbali kwa MUJIBU WA mwekezaji mambo yanazidi kuchangamkaππππππ "MCHINA AJIBU MASWALI YA MADIWANI LUDEWA KWA KISWAHILI, AOMBA KUSAIDIWA, MBUNGE ATIA NENO - YouTube"
View: https://m.youtube.com/watch?v=cricm0hwiO4&pp=ygUOV2FjaGluYSBsdWRld2E%3D
Uchumi umesharudi Mbeya,yaani miezi 6 wamekusanya Bil.38.6 ,,Hadi kufikia June 30 wanaweza kukusanya zaidi ya Bilioni 70 ,mbali zaidi ya Lengo ππ