Goodnight from Katoro ๐ฅ ๐ฅ ๐ โjโJView attachment 3145558jamaa zenu hao
Ndio maana nakuambia ushamba unakusumbua, yaani kila Kijiji huko ni old-fashioned ๐คฃ๐คฃ๐คฃ wait nikutoe matongotongo.Ilembula lami za kutosha mitaanView attachment 3149427
View attachment 3149425View attachment 3149426
Unapost kijumba kimoja kimoja why can't you post the whole thing?๐คญ๐คญ๐ค
Unaleta vijiji vya hovyo humu vyote vimejaa kutu ๐ค ๐ค ๐ค lami kwa kila small town huku ni kawaida ๐hapo ni masumbwe the power of gold ๐ฅIlembula lami za kutosha mitaanView attachment 3149427
View attachment 3149425View attachment 3149426
Hii ni Kasulu ๐๐๐ mpunguze ushamba na vimiji vyenu vya kizamani vyenye kutu kila kona,
Kijiji kichafu hivi hata kikiwekewa lami kila kona hakina mvuto wowote harafu mtu unatupostia humu๐ค be serious punguza ushamba hiki ni cha kusifia kweli ๐๐๐คeti Ilembula ๐๐๐๐๐Ilembula lami za kutosha mitaanView attachment 3149427
View attachment 3149425View attachment 3149426
Igwachanya yenyewe sasa ๐๐๐๐mtu anaweza fikiri ni sehemu ya maaaana๐ค๐คญ๐ ๐ kumbeIgwachanya lami za kutosha
View: https://www.instagram.com/reel/DAz9xVfi38k/?utm_source=ig_web_copy_link
Hata kijiji cha Buyange kina lami na kinavutia kuliko hiyo Igwachanya yako ๐Igwachanya lami za kutosha
View: https://www.instagram.com/reel/DAz9xVfi38k/?utm_source=ig_web_copy_link
Leta subtown zenu zote nizipige nyundo za maana ๐ ๐คLevel za Kijiji CHAKO ni sawa na sub town zinazoizunguka makambako kama igwachanya ingawa Hawa wanajenga kwa mpangilio na lami za mitaa zipo za kutosha tofauti na Kijiji chenu mlicho kilundika tuView attachment 3149411 View attachment 3149408
NyororoIgwachanya yenyewe sasa ๐๐๐๐mtu anaweza fikiri ni sehemu ya maaaana๐ค๐คญ๐ ๐ kumbe View attachment 3150774
Hata kijiji cha Buyange kina lami na kinavutia kuliko hiyo Igwachanya yako ๐View attachment 3150816acha kuhangaika na Google map leta real picture Mzee usituletee mapaa hapaView attachment 3150818
In short hamna kitu cha kutisha ambacho huku hakipo, hapo bado hatujagusa kijiji cha Bugarama na Mji mdogo wa Kakola
Haya Sasa umeona wenzio wamewekewa lami hadi mitaani angalia vijiji vyako ulivo vileta nje ya main road mitaani ni mavumbi tu na njia za ngombeIgwachanya yenyewe sasa ๐๐๐๐mtu anaweza fikiri ni sehemu ya maaaana๐ค๐คญ๐ ๐ kumbe View attachment 3150774