Njombe ni mji unaokuwa kwa kasi sana na huwezi fananisha kwa miji Hiyo ya mafinga na Kahama,na mafinga itaendelea kwa kuchelewa lakini ni permanent kwa vile mafinga hutegemea Kilimo cha miti ,Chai,matunda na kuna viwanda vingi sana, Kahama ni madini na hakuna viwanda Kilimo sio sana
Madini non renewable resource yakiisha na habari ya maendeleo ya Kahama imeisha