ENEO AMBALO LINAJADILIWA KUWEKWA ALAMA YA MKOA WA NJOMBE mkoa wa njombe asilimia 70 wameanza kufanikiwa kuwa na mji mkubwa nyanda za juu kUsini baada ya makazi kuungana njombe na makambako na visubtown vya ilembula na igwachanya na watafanikiwa zaidi zikimalizika project za viwanda vya chuma,ujenzi wa vyuo,ujenzi wa soko la Kanda ,uwanja wa ndege wa kanda, bandari kavu nk
View attachment 3111768View attachment 3111769View attachment 3111772View attachment 3112124View attachment 3112125View attachment 3112126View attachment 3112127View attachment 3112130
Asee Bora ungekaa kimya umetuletea picha za Kijiji Cha katoro Bado unakuja kuiongelea njombe kama huijui Kaa kimya maana majengo yaliyopo mkoa wa njombe geita haifiki hata nusuUkitoa hilo jengo la soko njombe imeisha ,nothing attractive pamechakaa fully rusty houses
Ukitoa hilo jengo la soko njombe imeisha ,nothing attractive pamechakaa fully rusty house
Umeanza kupost jengo moja moja ili ufiche uchafu wa njombe sio π€ππ. Post the whole town, yaani huu nao ni mji wa kusifia kweli hivi πππ€£Asee Bora ungekaa kimya umetuletea picha za Kijiji Cha katoro Bado unakuja kuiongelea njombe kama huijui Kaa kimya maana majengo yaliyopo mkoa wa njombe geita haifiki hata nusu
View attachment 3112378View attachment 3112379View attachment 3112380View attachment 3112381View attachment 3112382
Usiingize Geita huiwezi ,dili na KATORO just a small town lakini kwa uzuri huwezi leta miji michafu michafu kulinganisha, baada ya miaka mitano mbele katoro patakuwa na majengo makubwa sababu ni fastest growing town πAsee Bora ungekaa kimya umetuletea picha za Kijiji Cha katoro Bado unakuja kuiongelea njombe kama huijui Kaa kimya maana majengo yaliyopo mkoa wa njombe geita haifiki hata nusu
View attachment 3112378View attachment 3112379View attachment 3112380View attachment 3112381View attachment 3112382
ACha umbumbu na ww tunakwambia hivi mkoa WA geita kimajengo madhari ya mji kwa mkoa WA NJOMBE haikamati hata kidogo hata marehemu magafuli ni wageita mwaka 2019 alikili Hilo na kubaki anashangaa kuona jinsi makambako na NJOMBE zilivo ungana na makazi ya kisasa yalivo shamili ko ACha kuchunga ngombe nenda mkoa WA NJOMBE kajifunze miji inakuaje sio kutuletea vijiji VYA katoro hapa geita kwa njombe bado SanaUsiingize Geita huiwezi ,dili na KATORO just a small town lakini kwa uzuri huwezi leta miji michafu michafu kulinganisha, baada ya miaka mitano mbele katoro patakuwa na majengo makubwa sababu ni fastest growing town πView attachment 3112479View attachment 3112467View attachment 3112470View attachment 3112472
Yan unatuletea picha za ofisi za visima vya mafuta FUTA aibu HiYo Mzee njombe Ina visima vyenye ofisi kama hizo si chini ya kumi toa uchafu huoUsiingize Geita huiwezi ,dili na KATORO just a small town lakini kwa uzuri huwezi leta miji michafu michafu kulinganisha, baada ya miaka mitano mbele katoro patakuwa na majengo makubwa sababu ni fastest growing town πView attachment 3112479View attachment 3112467View attachment 3112470View attachment 3112472
Tunavo kwambia geita kwa majengo kwa njombe bado ipo nyuma naona huelewi wenzio shinyanga walisha kimbia Uzi huu mkoa wa njombe umesha iacha mikoa mingi Sana kimiundombinu upo Kasi Sana haya Sasa tupe majengo hapo geita gorofa kumi zenye floor kuanzia tano kwenda juu njombe now zipo zaidi ya kumi baadhi ni hiziUsiingize Geita huiwezi ,dili na KATORO just a small town lakini kwa uzuri huwezi leta miji michafu michafu kulinganisha, baada ya miaka mitano mbele katoro patakuwa na majengo makubwa sababu ni fastest growing town πView attachment 3112479View attachment 3112467View attachment 3112470View attachment 3112472