ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,299
- 88,326
- Thread starter
-
- #18,381
Walioko site watuletee picha za current maana hizo za mitandaoni nyingi ziko out of date..
Yes. Iringa naikubali mimi japo ni mji Mdogo lakin kana standard ya mji sio kama mbeyaIringa MC inaendelea kushikilia nafasi ya Mji wenye good skyline Kwa Nyanda za Juu Kusini.
Kasi ya ujenzi wa magorofa sio kubwa Kama Mbeya ila Sasa wanajenga majengo marefu kama kawaida Yao.
Iringa Kwa Sasa imeshamezwa na Dom,Mbeya na Njombe.Yes. Iringa naikubali mimi japo ni mji Mdogo lakin kana standard ya mji sio kama mbeya
Cha vileoHiki kiwanda kinaitwa MakaBeve Ltd sijajua ni Cha juice au? 👇👇View attachment 2918694
Makambako inafanya vizuri kwenye viwanda vya kati na vidogo
Iringa Kwa Sasa imeshamezwa na Dom,Mbeya na Njombe.
Nimetoka huko juzi yaani majengo ya mwaka juzi ndio yanamalizika ila ni tall buildings safi kabisa gorofa 7 and above.
But economically inapungua.Mbeya unayoiponda ni ujenzi wa magorofa Kila Kona ,the only difference ni kwamba hayako sehemu Moja yako scattered na mengi Yao sio marefu.
But Kwa Mimi Mbeya inakuja vizuri Sana na Sasa Ina maturity ya City,Kila mwaka ukienda unakuta viota vipya angani ,pesa inazunguka pesa ipo kuanzia Uyole Hadi Mbalizi.
Can't wait to see njia 4 and New Bus Stand Old Airport itakuwa ni 🔥🔥🔥

Mavumbi tupu and very ugly indeed 😁😁View attachment 2918939View attachment 2918939View attachment 2918939
Stendi ndogo ya daladala mjini Bukoba imefikia hapa. Mwezi wa nne stendi inafunguliwa kwa ajili ya daladala za mjini Bukoba.
Phase 2 ya ujenzi wake itahusisha jengo la abiria ujenzi utakaoanza April.
Stendi kuu itajengwa bajeti ijayo chini ya tactic
Huu utafiti ulifanywa na nani na report hiyo Iko wapi wengine tuisome?
Fatilia mbona hapo chini wamekutajia chanzo Cha watafitiHuu utafiti ulifanywa na nani na report hiyo Iko wapi wengine tuisome?