ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,299
- 88,327
- Thread starter
-
- #1,721
Mada ni Njombe vs Kahama ,Bukoba ya nini hapa? kiufupi ukiangalia picha hizi zinaonekana zimeendelea kuliko Kahama lakini utasikia mtu anakwambia Kahama imeendelea kuliko bukoba ukimwambia leta picha anaanza blaa blaa za sijui soko sijui watu wengi mara mabasi yaani upuuzi tu.Miji dizaini ya Bukoba ndio nayopenda mimi kuishi inamaana na Njombe kwa miaka 5 ijayo itakuwa hivi kwa vile mandhari na ustaarabu tunafanana.Aisee unaivunjia Bukoba heshima yake ya kipekee.
Mji ule Una hadhi yake ya kipekee.
Nakubali kahama inaizidi bukoba kwa idadi ya watu na mzunguko wa kibiashara lakini mambo mengi kama miundombinu,majengo( maghorofa) maisha ya MTU mmoja mmoja ,na hata mandhari.
Hebu huyo MTU wa njombe atazame miji ya kanda ya ziwa .hii ni bukobaView attachment 1625354View attachment 1625355View attachment 1625356View attachment 1625358View attachment 1625359View attachment 1625360View attachment 1625361View attachment 1625363View attachment 1625364View attachment 1625365View attachment 1625366
Kyoma utaniua MunjombeItabaki kuwa juu kuliko bukoba vijijini kimaisha?[emoji23]
Mzee funga safari nenda kanda ya ziwa hasa mkoa wa kagera uone jinsi elimu ilivyofanya vijiji vya bukoba viwe.
Bukoba ndo sehemu yenye mvua nyingi kuliko popote tz . Hio mandhari yake huwezi iona popote.
Hayo uliyoyataja yote yanalimwa kagera na nikuongezee kahawa, vanilla,alizeti,ndizi,miwa mpaka kuna kagera sugar,
Bado kuna biashara za mpakani, uvuvi,utalii ( burigi,ibanda, rumanyika national parks) elimu nk
Kumbuka pia hiyo Miji iliyopewa hadhi ya manispaa tokea zamani haijaifikia Kahama kwa potentiality ndio maana tukaisukumiza na Njombe ipambane nayo ukitoa Mwanza Jiji tu.kama Njombe inaweza kua inashindana na mikoa au miji iliyopewa hadhi ya kua miji au manspaa zamani huku yenyewe ikipewa hadhi hiyo juzi tu basi kuna maendeleo ya kasi sana aisee.
sasa miziki ya nini?Wasafi fm, "Tumewasha Tour" inaanzia Kahama, Njombe ipo kwenye ratiba?
Media zinajitangaza sehemu zinapoweza fanya biashara, Clouds fm na fiesta kila mwaka Kahama ipo kwenye sherehe, Clouds fm ni bora wasipeleke fiesta Shy town ila sio Kahamasasa miziki ya nini?
hiyo picha ya kwanza ni bukoba? nifahamishe ni maeneo gani ?maana maisha yanaenda kasi ajabuAisee unaivunjia Bukoba heshima yake ya kipekee.
Mji ule Una hadhi yake ya kipekee.
Nakubali kahama inaizidi bukoba kwa idadi ya watu na mzunguko wa kibiashara lakini mambo mengi kama miundombinu,majengo( maghorofa) maisha ya MTU mmoja mmoja ,na hata mandhari.
Hebu huyo MTU wa njombe atazame miji ya kanda ya ziwa .hii ni bukobaView attachment 1625354View attachment 1625355View attachment 1625356View attachment 1625358View attachment 1625359View attachment 1625360View attachment 1625361View attachment 1625363View attachment 1625364View attachment 1625365View attachment 1625366
ukweli ni kua Njombe imekua mkoa juzi na kagera ilikuwapo,kitendo cha kuishindanisha Njombe na Kagera tafsiri yake ni kua Njombe ina maendeleo ya kasi zaidi kuliko Kagera.Maana kama kijana wa miaka 23 akawa anawiana kipato na mtu wa 35+ maana yake huyu wa 23 anakua kiuchumi kwa kasi isiyo ya kawaidaSorry ulishawahi fika kagera Bukoba huko vijijini.
Kagera ni kanda ya ziwa pia..
Mfano wa kijiji huko bukoba vijijini.
Njombe mnaizidi kagera kwa per capital kwa sababu mna population ndogo Sana. Wilaya ya muleba na misenyi Peke yake zinawazidi population.
Njombe kuna watu laki Tisa. Huku kagera ina watu 3 million mkoa ukiwa wa tatu nchini kwa idadi ya watu na density. Ndo maana mnaonekana mko juu
Lakin kiuhalisia huwezi linganisha maisha ya MTU wa bukoba vijijini na huko kusiniView attachment 1625315View attachment 1625316
Logic yako sasa...ukweli ni kua Njombe imekua mkoa juzi na kagera ilikuwapo,kitendo cha kuishindanisha Njombe na Kagera tafsiri yake ni kua Njombe ina maendeleo ya kasi zaidi kuliko Kagera.Maana kama kijana wa miaka 23 akawa anawiana kipato na mtu wa 35+ maana yake huyu wa 23 anakua kiuchumi kwa kasi isiyo ya kawaida
π mzee wa njombe.. una maneno sana ujueNjombe baada ya miaka 20 itakua level nyingine kabisa.Sasa ni miaka 8 tu toka iwe mkoa na imeshapiga maendeleo ya ajabu baada ya twenty years itakua namba 1 kwa Per capita income
Logic yako sasa...
Mmoja anatengeneza milioni 100 na familia yake ina watu kumi. Wanakoishi chakula, Maji na matibabu ni milioni 90 kwa watu kumi. Anatunza milioni 10 tu kwa mwaka..
Na kuna wewe mwenye kipato cha milioni 25 kwa mwaka na familia ya watoto watatu.. unakokaa ardhi ni bure, elimu bure, afya bure, chakula, maji unatumia milioni 15 kwa mwaka. Kisa na wewe unatunza milioni 10 kwa mwaka Mnalinga na na mwenzako
sio maneno ni ukweli mkuu.Kama kwa miaka nane tu tumekua watatu kwa per Capita Income baada 20yrs tutakua namba moja 1 Kwa sababu Njombe ina diversity kubwa ya shughuli za kiuchumi na haitegemei sector moja kama kahama au sehemu zinazofanana.Fikiria mkoa wa kilimanjaro isingekua utalii ungekuwaje baada ya kuyumba kwa Kahawa.Kagera nayo angalau inadicersity kahawa,ndizi,Miwa kidogo,chai kidogo sio mbaya.Lakini Kahama ikianguka sector ya madini kama ilivyotokea kwenye baaadha ya miji ya Zambia hali inakua ngumu labda kuwepo akili ya kutransform.π mzee wa njombe.. una maneno sana ujue
Sema Watu wengi mnapicha tofauti sana ya Kahama! Kinachoikuza Kahama si Madini.. japo yameipa umaarufu mkubwa.sio maneno ni ukweli mkuu.Kama kwa miaka nane tu tumekua watatu kwa per Capita Income baada 20yrs tutakua namba moja 1 Kwa sababu Njombe ina diversity kubwa ya shughuli za kiuchumi na haitegemei sector moja kama kahama au sehemu zinazofanana.Fikiria mkoa wa kilimanjaro isingekua utalii ungekuwaje baada ya kuyumba kwa Kahawa.Kagera nayo angalau inadicersity kahawa,ndizi,Miwa kidogo,chai kidogo sio mbaya.Lakini Kahama ikianguka sector ya madini kama ilivyotokea kwenye baaadha ya miji ya Zambia hali inakua ngumu labda kuwepo akili ya kutransform.