Kahama VS Njombe/Mafinga

Hivi unajielewa kweli unasema hiyo ndio barabara yenye magari mengi wakati kila picha naona gari moja na barabara nzima ni empty😝😝😝
Ushamba utakuisha lini kuliona gari moja haijalishi na tanroad wanalijua hilo Angalia na mizigo mingi inaenda wap
 
Cheki bwege mwenzenu SUNK THE FALLACY anatia huruma na kulialia huko

The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
Jan 20, 2022
Add bookmark
#1
Salamu kwenu.

Naona viongozi wa awamu ya 6 wanaendelea na tabia ya kuitenga mikoa ya Kusini kwenye maeneo mengi tu.

Chief Hangaya yeye amejikita Dodoma, Kanda ya Ziwa, Dar, Kanda ya Kaskazini na Zanzibar.

Mwisho wa mwaka Rais alikuwa awe mgeni Rasmi Siku ya Ukimwi Duniani na hakuja, hakuna sababu zilitolewa.

Kanda nilizotaja hapo juu wanarudia mara mbili mbili, hii tabia inaonyesha wazi kabisa kwamba hata kwenye mgawanyo wa miradi ya maana hawajengi huku Kusini ndio maana hawaoni haja ya kuja.

Tuna miradi mingo tuu ilishakwama Miaka na Miaka kama Liganga na mchuchuma, uwanja wa Songwe, barabara kibao tuu za kuunganisha Mkoa na Mkoa Bado mavumbi, Southern Circuit ya Utalii ilishatelekezwa, Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Afya Udsm Mbeya wametelekeza kwa kisingizio cha kukosa Ardhi, Tazara nk.

Mkoa wa Ruvuma kwa mfano haijaunganishwa na barabara yeyote ya maana na nchi jirani wala Ziwa Nyasa hakuna meli ya abiria.

Ikiwa Hawa wa awamu ya 6 nao wameamua kuwa kama awamu ya 5 ni vyema watu wa Kusini tuamue kutembea na Upinzani ijulikane moja.

Kanda ya Kusini/ Nyanda za Juu Kusini iko namba 3 kuchangia Pato laTaifa ambalo linawanufaisha wengine, hii sio sawa. Ona hapa Rais anaenda Tena mwanza wakati katoka huko si zaidi ya miezi 2
 
Kuota mavi ya ngombe na vumbi maskini macho hayaon analia vizuri trend hizo mizigo inaenda wap mwanza Kuna mizigo gan Zaid ya dagaa
Unauliza mizigo mingi inaenda wap huku unaona neno DSM na mwanza yaan kusini hata rais hawez kuja Bora aende at Kilimanjaro kuliko kusini
 
Mwingine huyu bwege wa kusini naye analialia kama mbwea tulieni doz iwakae mbwa nyie cheki anatia huruma

Peramiho yetu
Peramiho yetu
JF-Expert Member
Jan 20, 2023
Add bookmark
#12
Mkuu Kwanza hongera Sana kwa kuliona hili

MKOA WA RUVUMA n mkoa ambao haujaunganushwa kabisa na nchi jiran

Na boarder pekee za kuunganisha nchi hiz jiran n mbambabay ..nyasa ambako hakuna meli ya uhakika kabisa

Pili boarder ya MPITIMBI..MUHUKURU MITOMONI.hii inaunganisha nchi ya msumbiji

Nadhan ndyo mkoa pekee hapa nchini haujaunganishwa kabisa na nchi za jirani

JENISTER MHAGAMA najua upo humu na ushanitisha sana juu ya mabandiko yangu yanayohusu mkoa wa Ruvuma kupitia watu wako ukwel utabaki kuwa ukweli wewe ndye mbunge mbovu kupita wote kutokea miundombinu n ya hovyo Sana

Tunaomba Sana serikali itusaidie jaman huu mkoa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Chimunguru, tipwatipwa and The Sunk Cost Fallacy
sambulugu
JF-Expert Member
Jan 20, 2023
Add bookmark
#13
The Sunk Cost Fallacy said:
Ushavuta bangi tayari πŸ˜„πŸ˜„
Utajua hujui! Nchi hii bila kupepesa macho hayo ndo maeneo yenye ushawishi kilaslimali na kichumi! Ila kwa vile mnampenda kujifurahisha hamtaki ukweli! Endelea kuniambia navuta bangi!
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Ibambasi and cleokippo
Bams
Bams
JF-Expert Member
Jan 20, 2023
Add bookmark
#14
Kwa kiasi kikubwa, ulichoandika ni sahihi. Viongozi wa kitaifa hawaendi mikoa ya Kusini wala Nyanda za Juu Kusini kwa sababu hakuna miradi mikubwa ya maana inayoendelea huko licha ya ukweli kwamba mikoa hiyo inachangia kiasi kikubwa kwenye pato la Taifa.

Chuki za awamu ya 5 kutokana na watu wa Mbeya na Njombe kutamka wazi mwaka 2015 kuwa wasingeichagua CCM, kulimfanya marehemu kutafuta namna ya kulipiza kisasi baada ya kuwa Rais. Baada ya hapo watu wa maeneo haya wakazidi kuichukia CCM na mgombea wake wa Urais mwaka 2020.

Njombe ndiyo eneo pekee Marehemu Magufuli alilazimika kupiga magoti wakati wa kuomba kura. Kinachoendelea sasa kitazidi kuchochea mikoa hii kuzidi kuichukia CCM, na CCM ili kuendelea kuyashikilia majimbo ya maeneo haya watalazimika kuendelea kutegemea uporaji wa kura na hadaa mbalimbali, na siyo kura za wananchi.
 
Kuota mavi ya ngombe na vumbi maskini macho hayaon analia vizuri trend hizo mizigo inaenda wap mwanza Kuna mizigo gan Zaid ya dagaa
Malori mengi ya mafuta yanapita hapo tunduma kama border TU yakija Kwa wajanja DAR,MWANZA, na ARUSHA nyie mnashika kiuno kushangaa TU na ufupi wenu kama mabanda ya m- pesa
 
Unacheki jinsi mbwa wenzako wanatia huruma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…