Ni mji wa kawaida tu kahama.Kahama kuna nini ambacho hakipo kwingine?
Viazi siyo maendeleoHAYO YOTE SIYO MAENDELEO
Hao manamba wa migodini msihangaike sana na midomo yao,wakipiga porojo unawatupia picha kama hivi wanabaki wanajikuna makalio huko kama nyaniNJOMBE NSSF
Kahama itabaki juu tuu siku zoteMimi si mtetezi ila nimefanikiwa kuchukua picha hizi za kahamaView attachment 1277330View attachment 1277331View attachment 1277332
Kahama itabaki juu tuu siku zote
Lindi hii yenye cubic feet trillion kadhaa za gas, au?! Kwa sasa inaweza kuipita au imeshaipita lakini akija kiongozi anayefahamu umuhimu wa uchumi wa gas, mikoa mingi itasubiri!Njombe inaweza kuipita Lindi ila sio Iringa na Songea
HahahahahahahMiji yote ina UKIMWI wa hatari
maneno meeengi lakini zero on ground,we call wishful thinkingLindi hii yenye cubic feet trillion kadhaa za gas, au?! Kwa sasa inaweza kuipita au imeshaipita lakini akija kiongozi anayefahamu umuhimu wa uchumi wa gas, mikoa mingi itasubiri!
Nikukumbushe tu kwamba kabla ya Magu, pale Lindi ilikuwa ijengwe gas processing plant yenye thamani ya takribani TZS 70 Trillion!
Changanya uwekezaji wote uliopo Tanzania, I doubt kama unafikia TZS 70 Trillion!
Sasa kama nyumba ni bora Mafinga na hata muonekano wa mji kiujumla Mafinga iko njema huko kahama watu wanaishi kwenye tembe au zizini au kwenye mashimo ya migodi maana kila nyanja ni hovyo kabisa huko kahama ,yaani mji kama gulio fulani hiviUkilinganisha Kahama na Mafinga naweza kukuelewa ila sio Njombe. Kwa Kahama na Mafinga kimaendeleo naweza sema zinaenda sambamba.Japo Kahama inaweza kuwa mbele kidooogo kwa sababu ya madini. Japo kwa fursa Mafinga zipo za kutosha hasa biashara ya Mbao/miti na kilimo cha chai.Kwa ujenzi wa nyumba bora mafinga wako juu hadi vijijini kuna nyumba nzuri sana.
Maneno mengi yako wapi?! Na hiyo wishful thinking ni ipi?!maneno meeengi lakini zero on ground,we call wishful thinking
Nimekuelewa mkuu maana kahama ni gulio ila Njombe ni eden ya TznKufananisha kahama na njombe ni wehu...Mtoa mada wewe ni mwehu
Juu kwa hisia but kwa vitu on ground Kahama ni gulio bora hata NanyumbuKahama itabaki juu tuu siku zote
Nimekuelewa mkuu maana kahama ni gulio ila Njombe ni eden ya Tzn
Watakuelewa kadiri wanavyopigwa bao,wanadhani zile nyumba za old town along main roads ndo Njombe ..Tofauti ya Njombe na hivyo vimiji vyenu uchwara ni kwamba Mji wetu umejengeka kila mahala na uko covered na greenish vegetation plus vilima vya hapa na pale ni kama Mbeya ina vimilima huwezi ona mji halisi kwa kupita barabara kuu tuuWatu wengi wakipita Njombe wanapita Lami tu lakini ukianza kuzunguka ndio unajua kua Njombe imejengeka,kuna Nyumba za gorofa moja au mbili nyingi tu kwa sasa na kwa kua mji uko na vijilima huwezi kuona mji wote ni hadi utembee tembee.Njombe is a lovely City pamoja na kua maisha yangu hayako njombe but still nikicompare na other places in Tanzania including Kahama kuna tofauti kubwa sana
Si hayo ya ooh rais aje wa uchumi wa gas ,mara ooh kahama sijui nini wakati nothing on groundManeno mengi yako wapi?! Na hiyo wishful thinking ni ipi?!
Mkuu sikuwahi kusikia hou mpango wa mradi, tukiwaambia watu magufuli ameua uchumi wapambe wake wanatetea, nini kilitokea wakaacha kufanya mradi huo ?, au yaleyale ya ushamba wa kiuchumi ?.Lindi hii yenye cubic feet trillion kadhaa za gas, au?! Kwa sasa inaweza kuipita au imeshaipita lakini akija kiongozi anayefahamu umuhimu wa uchumi wa gas, mikoa mingi itasubiri!
Nikukumbushe tu kwamba kabla ya Magu, pale Lindi ilikuwa ijengwe gas processing plant yenye thamani ya takribani TZS 70 Trillion!
Changanya uwekezaji wote uliopo Tanzania, I doubt kama unafikia TZS 70 Trillion!