M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,507
- 1,112
Hahaha! Eti nimeishi miaka mitatu alafu unabwabwaja sisi wazawa tusemeje?
.
Mwanza-Shinyanga ni KM 141 na si chache ni nyingi mnooo ni masaa mawili hadi matatu kwa gari.
Njombe ni porini kumejificha watu ni washamba, Kahama wajanja wengi alafu sio wasukuma tu wametoka maeneo mbalimbali ya nchi na jirani
Hebu acheni kulinganisha njombe mkoa na vitu vya ajabu ajabu. Takwimu za kiuchumi zinaonesha njombe ya 3 harafu ulinganishe na kiwilaya sijui cha wapi huko. Kwenye takwimu za kiuchumi kilikuwa cha ngapi na je watu wake wapoje kimaendeleo. Kahama ingekuwa ipo vizuri ingekuwa mkoa basi
kahama hawana mkombozi bank
Wewe hujui kitu unaandika story za vijiweni unazosikia Kwan watu.Hebu tafuta takwimu sahihi kutoka sehemu sahihiJe unajua kuwa kahama ilikuwa inashika namba mbili kitaifa ya kwanza ikiwa ni ilala?
Yani Mufindi inaizidi hadi wilaya ya kibaha?๐Wewe hujui kitu unaandika story za vijiweni unazosikia Kwan watu.Hebu tafuta takwimu sahihi kutoka sehemu sahihi
1.Ilala
2.Mufindi
3.....
Mufindi n ya pili kwa wingi wa viwanda baada ya Ilala.Huko Kuna viwanda vingi Sana vya magogo,mbao,na chai.Ndio sababu inatajwa Mafinga kwasababu n Makao makuu ya Wilaya ya Mufindi
Umeanza kulinganisha manispaa na wilaya ambayo haijafikia hata hadhi ya kuitwa mji?Sijasema inalingana no ila inatembea speed kiukuaji kuliko Iringa na Njombe
Nikuonyeshe mashule yaliyoko kahama ukimbie mkuu?Kanisa Roman Alama ya Njombe pamoja na Njombe secondary(Njoss)
View attachment 1176088View attachment 1176089
Lindi, na Njombe uchawi mwingi watu hawapendi maendeleo wanaroga sanaaa, hii tabia Rukwa naon wameiacha sasa wanapiga hatua ndefu za maendeleo.Kwahiyo hao watu wa Lindi ndo watakuwa wamelala? Kwamba hawatazaliana, hawatafanya biashara, hawatawekeza?
Yani nzega kamji kapo stend tu pale unalinganishana kahama mji?Mkuu,kutoka Mza to Shy,ni km 164, pia kahama inazidiwa na wilaya nyingi sana kimiundo mbinu,mfano Nzega ,Karagwe,Ngara,Korogwe,Kahama wameshindwa kujenga mitaa kwa kiwango cha Lami,kama wilaya nilizo taja japo hazina vyanzo vikubwa kama kahama,mfano wakati wa masika ukiwa majengo ,nyasubi,igomelo, nk,inabidi uvue viatu na ukunje suluali,Kahama sitendi kuu ya Mabasi ni aibu,sijui hata Buzwagi ikifungwa leo watabaki na kipi cha kujivunia?labda kituo cha Afya kilichopo kalibu na Mgodi Mwendakulima,Kahama inatia aibu.
Siku mvua na baridi la Njombe zikiiisha ndio siku madini ya Kahama yani ule ukanda wote yataisha sasa sijui mvua itaacha kuny'esha linilakini kwa maoni yangu kahama inakuwa coz ya dhahabu na madini, ila hio madini ikiisa taabu, ukiangaria miji kaa njombe na mafinga they have bright future coz wanategemea kilimo sana, na ile kitu wanastahili wafanye ni kulima kwa njia za kisasa(PRECISION AGRICULTURE) alafu wawekeze kweye proccesing industries, ha hizo watakuwa mbele kabisa
Mafinga ni Town council toka kitambo sana unless hujui na saizi iko kwenye process ya kuwa manispaa maana vigezo karibu vyote inavyoUmeanza kulinganisha manispaa na wilaya ambayo haijafikia hata hadhi ya kuitwa mji?
.
Endelea kulinganisha Kahama mji na njombe mji kumbuka ulisema hakuna mahotel kahama marefu nikakuonyesha yani Njombe imefunikwa na kahama
Aisee kungekuwa kuna madini kihivyo nadhani ingekuwa city kitambo sasa ni rubbish tu hamna kitu,madini unachimbia mitambo sio sululuSiku mvua na baridi la Njombe zikiiisha ndio siku madini ya Kahama yani ule ukanda wote yataisha sasa sijui mvua itaacha kuny'esha lini
๐๐๐๐ yani Mafinga iwe manispaa na Njombe itakuwa nini? Wewe jamaa si ndio ulikuwa hutaki masikhara sasa mbona unayaleta?Mafinga ni Town council toka kitambo sana unless hujui na saizi iko kwenye process ya kuwa manispaa maana vigezo karibu vyote inavyo
Hivi kuna sehemu gani Tanzania tofauti na Kahama na Geita inayotoa dhahabu nyingi Tanzania?Aisee kungekuwa kuna madini kihivyo nadhani ingekuwa city kitambo sasa ni rubbish tu hamna kitu,madini unachimbia mitambo sio sululu
Chunya kwenye madini mchina kaweka smelter kwa nini wasijenga Kahama
๐๐๐๐ Kubali tu hakuna cha kupiga hakuna battle bila picha.piga hata mashimo ya machimbo mkuumie sijaja huku kupiga selfie km ww mkuu!hahaha hatuendani kbs kiakili mm na ww..yaan nianze kupiga picha majengo ya kahama๐๐..mimi huyu??
Unaelewa maana ya kuwa kwenye mchakato?๐๐๐๐ yani Mafinga iwe manispaa na Njombe itakuwa nini? Wewe jamaa si ndio ulikuwa hutaki masikhara sasa mbona unayaleta?
.
Yani Manispaa ya Tabora kule Toronto kuwe sawa na Mafinga? Hata njombe haina hadhi ya manispaa ndio maana bado inaitwa Njombe mji
Chunya mchina kajenga hadi smelter/kichenjulio tatizo lenu mumeganda huko mazizini mnajua dunia yote iko usukumani.Kwa taarifa yako ukiacha machimbo ya Chunya,watu wanatoka Msumbiji kuja kuuza madini soko la ChunyaHivi kuna sehemu gani Tanzania tofauti na Kahama na Geita inayotoa dhahabu nyingi Tanzania?
๐๐๐๐ Kubali tu hakuna cha kupiga hakuna battle bila picha.piga hata mashimo ya machimbo mkuu
Sijawahi kuona Mkoa wenye manispaa zaidi ya moja Tanzania ila kuna majiji yenye manispaa zaidi ya moja mfano Mwanza ma DSM.Unaelewa maana ya kuwa kwenye mchakato?
Manispaa za Lindi,Singida,Sumbawanga,Songea,Shinyanga,Kigoma na Mpanda zimeizidi nini Mafinga na Njombe? Kwa nini zinaitwa manispaa councils?
Kwa taarifa yako manispaa zijazo kabla ya mkulu kusepa ni Njombe,Mafinga,Mbozi(Mlowo+Vwawa),Tunduma,Kahama,Kasulu na Mbalizi itakayokuwa sehemu ya jiji la Mbeya
City councils zitakuwa Moshi,Morogoro,Iringa
Mzee baba sie kilimo cha kisasa hatuachi kwa vile ni sustanable mambo ya sehemu ya changamoto ambazo zinaendelea kutatuliwa na serikali hata kwenye mazao ya misitu kuna kodi zaidi ya 30 lakini serikali inazidi kuzitatuamie hizo chocho zote bahat nzuri nilipita labda uniambie ww unawaza kusafirisha kilo 300 za maharage kuja dar kama unamaanisha hvyo well n good sasa ww gusa kupata vibali vya kusafirisha asali walau iende Malaysia ร u kuexport๐Uond mzunguko wake ulivyo...utasumbuka wee mwisho wa siku wanaoexport hizi ishu ni watoto wa vibosile wenye connections zao hapa mjini..mie kusafisha mazao kutoka mkoa m1 kwenda mwingine sitak..! ! sijui lakini..!
Wenzetu +254 wanaexport had cabbage..mikabeji ya huko kwenu inaoezeana tu!
Na mm nataka kwa hali na mali nifike kwa hao wachche unaowasema ww!
Endeleeni kujidanganya kwamba kilimo ni uti wa mgongo! labda!