Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Unafikiri ni Kwanini Hizo mission hazijajenga huko Shinyanga au sijui wapi, au unadhani vikiwa vya dini inamaanisha ni Malaika walishuka wakajenga? Hizi akili za migodini jamani[emoji2][emoji2]
Kwani huko hakuna hizo dini? Au nyie huko hamuhitaji Vyuo?
Iringa ni Miongoni mwa mikoa minne Tajiri Tz, (fact)
Kuwa na madini pekee haitoshi, Fanyeni kazi kwa bidii huko mpunguze umaskini. Period.
Njoo kwetu kilolo uone tofauti ya Kilimo na Madini.
Soko kuu jipya la Njombehahaha mmeanza kurudi eee? Haya tuletee za kahama maana wew pia ulibisha sana
daaaaah tuliisahau hii motel, ghorofa letu la kwanza kwa mkoa wa njombe toka miaka ya 90, thanks boss
Unafikiri ni Kwanini Hizo mission hazijajenga huko Shinyanga au sijui wapi, au unadhani vikiwa vya dini inamaanisha ni Malaika walishuka wakajenga? Hizi akili za migodini jamani[emoji2][emoji2]
Kwani huko hakuna hizo dini? Au nyie huko hamuhitaji Vyuo?
Iringa ni Miongoni mwa mikoa minne Tajiri Tz, (fact)
Kuwa na madini pekee haitoshi, Fanyeni kazi kwa bidii huko mpunguze umaskini. Period.
Njoo kwetu kilolo uone tofauti ya Kilimo na Madini.
Nomaaa kweli aseeeSoko kuu jipya la Njombe View attachment 1176060
Likikamilika
Tena aliyepiga picha ya Hotel SUB MARINE,apige na kwa nje,hicho kijinjia cha kuingia hapo kimejaa vumbi na makolongo ,kutwa nzima wanamwaga maji ili wateja waliomo ndani wasichafuke na vumbi,tena hiyo njia yakuingia Hotelini hapo haitoki upande wa ni makolongo tupu,ni mita 50,kutoka kwenye Lami,wenyewe wanaita kutoka PHANTOM.Those are not conducive liveable towns ni maeneo ya kuchuma na kusepa ndio maana hukuti uwekezaji wa maana coz investors wanajua kwamba siku mashimo yakizingua kutema watapata lifetime losses so wako skeptical sana
Eti mmja anasema kwa nini isiwe mkoa yaani uweke taasisi nyeti za serikali kwenye machimbo hilo halipo itabakia hivyo hivyo
Chunya kuna migodi kama Kahama lakini miundombinu ya chunya iko vizuri kuliko Kahama hata mji unakua na watu wanajenga magorofa sana tuu kwa vile machimbo yako mbali na mji wakichimba wanakuja kuuza mjini tofauti na Kahama mashimo hadi mjini nani aishi huko kwa manamba
Dah ungemalizia na upande wa sawmills na getini kule hapo kbena tanwat, hako ni kamjengo ka mwishoni chini kulee. Nimezaliwa na kukulia mitaa iyo enzi za kuishi kotazHap
Hapo n maeneo ya Kibena tanwat kwenye wanapozalisha playwood na Power plant ya umeme
Iringa haipo katika mikoa tajiri 5, punguza uongo basi, unapozungumzia ngono kahama kwenye madini, kila mkoa ngono inafanyika, ata Iringa ngono zinafanyika ndio maana ni wa 3 kwa Ukimwi. Usisifie kitu kwa kuwa unatoka huko. Vyuo Voulu Iringa ni vya dini 2(Ruaha cha Wakatoliki na Tumaini Luther), na Serikali Cha Walimu Mkwawa, sasa unasemaje hivyo vyuo vyotew vimejengwa na Wananchi wakati viwili ni vya Private ?. Iringa ni ya kawaida sana kwa sisi tunaoujua, hauna mchanganyiko wa watu, Wahehe tu mkoa mzima, akili zimesinyaa pale. Tofauti na njombe kuna Wapangwa, Wabena, Wakinga, Wahanji, Wamanda na Wasangu au Kahama ambapo makabila ya nchi yote yapo pale.
Si kweli. Mkoa n mkoa Tu usilinganshe na wilaya.Mbona Shinyanga mjini ni makao makuu ya mkoa lakini Kahama iko speed kuliko shy town?
Hii battle nimemshangaa labda hajatembea huyu muanzisha maada, kahama huwezi ifananisha na hata Iringa, tabora, songea, kigoma, shinyanga, na the like
Wataanza mwaka huu au mapema mwakani wametangaza tender nimeona kwenye bajeti na tangazo la tenderBado walipiga tu x nyumba za kuvunja, naona nguvu nyingi walielekeza kwenye miradi ya road za ludewa, makete na hii ya iringa to mbeya pia mradi mpya wa umeme gridi ya maka to songea
iringa toka itengwe na njombe, hawana cha kujivunia sana zaidi ya wilaya ya mufindi. Kwingine hakuna ishu, kugumu. Mufindi ndio wilaya ya kiuchumi zaidi kwa mkoa wa irngaIla na ww usijidai kisa kilolo mna kilimo cha imwagiliaji..nidanganye kwingine sio hiyo sekta..! mtu unajipinda kulima nyanya then unakuja uza tenga kwa 3000??ππ yaan kafaida kanakuwa kadoogoo ...hapana aisee..nyie limeni tu kwakwel na vifaida vya laki 6 miez 3ππ!
^
huku bwana unalal.maskn unaamka.tajiriππ..unalala.tajiri after a short tym u akuwa maskini! sasa huku wenye akili kama kina Manengelo lazima tutusue tu..starehe zinakaa kando na kusoma mchezo kwa ustadi mkubwa! endelen kulima fingamba be!
iringa toka itengwe na njombe, hawana cha kujivunia sana zaidi ya wilaya ya mufindi. Kwingine hakuna ishu, kugumu. Mufindi ndio wilaya ya kiuchumi zaidi kwa mkoa wa irnga
Iringa town wakikaa bila kujipanga itabaki old town maana Mafinga inatembea speed hatari japo sio leo au kesho si unajua mtu akitanguliairinga toka itengwe na njombe, hawana cha kujivunia sana zaidi ya wilaya ya mufindi. Kwingine hakuna ishu, kugumu. Mufindi ndio wilaya ya kiuchumi zaidi kwa mkoa wa irnga
dah afadhali, maana ile road maka to njombe ni nyembamba sana hasa kupishana magari makubwa ni shidaWataanza mwaka huu au mapema mwakani wametangaza tender nimeona kwenye bajeti na tangazo la tender
Iringa Ni zaidi ya Njombe na Kahama .Inalingana na Moshi tuIringa level nyingine.Tusidanganyane