Mbona nikihoji hoja muhimu hujibu?! Hahaha. Submarine, NSSF, kom (Karibu na Rocken hill, Mongo Hotel, Petrol Africa yako Mengi mno.. sema tu wewe huyajui
Kahama haina supermarket moja, hii mpya inaitwa TULIZ supermarket picha nikipata nitatupia humu. Weka supermarket za Njombee tafadhali ππππ
Unaweza ukabishia wakat yupo sahihi hata serikali inatambua Hilo makambako ya Jana si ya leo gorofa ulizo kuwa unajidainazo njombe ukipita makambako kwa sasa tayar mambo ni fire site zimezungushwa bati tu vitu. Vinapanda nyumba za chini hzo ndo gap lakufa mtu