Kahama VS Njombe/Mafinga

Makambako TC,hivyo Vijiji vyenu mnaviita center 😂😂😂😂😂
Next week nakuletea vitu vya MASUMBWE nazani utaacha kuichukulia poa GEITA, ukiachana na GEITA municipal, Kahama municipal na Katoro mji, mji wa MASUMBWE ndio unafuata kwa fujo za Pesa (nguvu ya dhahabu)

MASUMBWE ndio mji mkuu wa biashara wilaya ya mbwogwe miaka minne nyuma headquarters za halmashauri ya wilaya ya mbwogwe zilikuwa MASUMBWE kabla ya kuhamishiwa Kasosobe ambako ndio katikati ya wilaya ya mbwogwe geographically
 
Usinichafilie uzi
 
Napenda kuwataarifu Rasmi kwamba Kwa Sasa mgawanyo wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini inahusisha Mikoa 4 tuu ambayo ni Mbeya,Rukwa,Njombe na Songwe .

Mkoa wa Ruvuma umehamishiwa Kanda ya Kusini na Mkoa wa Iringa umehamishiwa Kanda ya Kusini , Mkoa wa Katavi umehamishiwa Kanda ya Magharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…