Yeah nimeona, Mbeya recently naona imeanza kujengeka. Unlike miaka ya nyuma, sasahivi mji umeanza kuendelea kwa kasiTughimbe pia anafanya extension ya hoteli yake hapo pembeni ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DSAj1UDiDQ2/?igsh=MTV3YzhsMWRwZnI1ZA==
Race for the sky Kwa Sasa ni π₯π₯Yeah nimeona, Mbeya recently naona imeanza kujengeka. Unlike miaka ya nyuma, sasahivi mji umeanza kuendelea kwa kasi
Ni Mwanjelwa, wanajenga hilo ghorofa nililopostNi mtaa gani?
In short Mbeya Kwa Sasa ni ya moto kulikuwa kawaida,imefunguka Kwa kasi sana yaani ni π₯π₯π₯ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DSM714yCO62/?igsh=d2tndTl3aHkydmh2