Kahama, Shinyanga: Mmoja afariki na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari kugongana na bodaboda

hardTop iyo kmmmmk
Watanzania kwa ujuaji...mnatosha!

Kuna Land cruiser hard top ya milango5? Kwa kukufahamisha hakuna. Aina hii ya gari inajulikana Land cruiser station wagon. Inayojulikana kama hardtop ni ile ya milango 3,miwili pembeni na gate moja nyuma.
 
Boda boda je?.... mimi juzi nilikua navuka zebra boda boda sijui katoka wap kaniparamia. Yani kabeba abiria anavua zebra na watembea kwa miguu hawa utasemaje?.
Unaelewa nini kuhusu zebra crossing?unajua mtembea kwa miguu nini azingatie awapo anavuka kwenye hizo zebra?yawezekana kuna kiosa ulikuwa wakosea kwenye kuvuka kwako.
 
Et yawezekana unaona sasa akili yako
Unaelewa nini kuhusu zebra crossing?unajua mtembea kwa miguu nini azingatie awapo anavuka kwenye hizo zebra?yawezekana kuna kiosa ulikuwa wakosea kwenye kuvuka kwako.
Yani gari zisimame alafu watu tuvuke uelekeo upande wa pili then boda boda aje nae aliko tokea anaendesha pikipiki na mtu kapakiza useme yuko sahihi? Tena cha ajabu pale alipafanya kama U turn maana alikua anatokea upande mmoja akazungusha pale pale akarudi aliko tokea.
 
Back
Top Bottom