Kahama: Manispaa isiyo na barabara za lami za mitaa

Kahama: Manispaa isiyo na barabara za lami za mitaa

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,867
Habari za leo wana jukwaa,

Kahama ni kati ya wilaya zenye mapato makubwa sana Tanzania. Kahama ni Manispaa ambayo haina barabara za mitaa za lami.

Tunaomba tuwekewe lami Barabara ya Nyakato kuunganisha asilimia mia na Barabara ya Mamaa Farida.
 
Kwa kweli mji huu unashangaza, mji unawika Tanzania lakini barabara za mitaa yake ni vumbi tupu huku ukiwa na migodi ya madini nchi nzima
 
Kahama...
JamiiForums-903636423.jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mbona husemi Mwanza ni mji usio na Taa za Barabarani Giza tupu, mashimo ukiacha tu Barabara kuu
 
NIKO KAHAMA

YANI HATA HICHI KIBARABARA CHA LAMI CHA MJINI HAKINA ZEBRA WALA ALAMA YYTE MBAYA ZAIDI KUNA POTHOLES KIBAO.

NA TARURA ILIYOCHINI YA MENEJA JACOB WAKO HAPO HAPO MJINI, DC YUPO NA MKURUGENZI ILA WAMERIDHIKA SANA

nshomile
kwasasa rock point Nyasubi
 
Hivi bado mnatumia usafiri wa baiskeli kama boda boda kahama?

nimeshajiapiza nitarudi tena kahama kibiashara,kuna mema sana
Ni mwendo wa bajaji na boda tu.
 
Habari za leo wana jukwaa,

Kahama ni kati ya wilaya zenye mapato makubwa sana Tanzania. Kahama ni Manispaa ambayo haina barabara za mitaa za lami.

Tunaomba tuwekewe lami Barabara ya Nyakato kuunganisha asilimia mia na Barabara ya Mamaa Farida.

Manispaa hii ipo ki ulaji zaidi. Yasemekana Pana watendaji wakuu wa kuteuliwa Kahama wako ofisini mjini hapo tangia kipindi cha JK. Mteuliwa wa rais ana zaidi ya miaka 10 akiwa kwenye nafasi hiyo hiyo kulikoni?

"Manispaa haina km 5 za lami, inawezekana namna gani?"

Nimefika kahama, nikatembezwa na kuonyeshwa barabara zenye majina makubwa makubwa kwenye hali za kusikitisha.

Nipo kwenye kuandaa uzi mahsusi barabara zenye majina ya wale mawaziri marehemu kama zilivyokuwa nitazirejea.

Fz45FSWWAAcW0MK.jpeg

Ulaji huu bila kunawa hauwezi kusimama wenyewe bila kusimamishwa na walipo wazalendo kweli kweli.
 
Ccm wanachojua ni kukusanya kodi tu,kahama haipaswi kua ilivyo.
 
NIKO KAHAMA

YANI HATA HICHI KIBARABARA CHA LAMI CHA MJINI HAKINA ZEBRA WALA ALAMA YYTE MBAYA ZAIDI KUNA POTHOLES KIBAO.

NA TARURA ILIYOCHINI YA MENEJA JACOB WAKO HAPO HAPO MJINI, DC YUPO NA MKURUGENZI ILA WAMERIDHIKA SANA

nshomile
kwasasa rock point Nyasubi

Kweli ni aibu
Naamini madini yanaingiza pato la kutosha ila ni utashi wa kisiasa! Utasikia mpaka ije miradi ya WB ya strategic cities ili tukopeshwe kwa masharti nafuu! Aibu hii !
 
Tatizo hapo Kahama ni Mkurugenzi masuala ya barabara hana habari nayo kabisa mbaya zaidi yupo hapo tangu kipindi cha JK, kila mkeka wa uteuzi ukitoka yeye haguswi. Pia siyo barabara tu pia ni manispaa yenye stendi mbovu sana.
 
Habari za leo wana jukwaa,

Kahama ni kati ya wilaya zenye mapato makubwa sana Tanzania. Kahama ni Manispaa ambayo haina barabara za mitaa za lami.

Tunaomba tuwekewe lami Barabara ya Nyakato kuunganisha asilimia mia na Barabara ya Mamaa Farida.

Manispaa ya kigoma ujiji pale kigoma wana barabara za mtaani za lami kuliko Ruvuma, njombe, singida, wakati ukiangalia mkoa kama njombe unamapato makubwa sana sana
 
Shida ni vipaumbele vya viongozi wanaacha miundombinu muhimu Kuna miji now Ina lami za kutosha mitaan hicho ni kituko Kuna Miji kama makambako wamepiga lami mtaan za kutosha utadhan makao makuu ya mkoa
 
Manispaa ya kigoma ujiji pale kigoma wana barabara za mtaani za lami kuliko Ruvuma, njombe, singida, wakati ukiangalia mkoa kama njombe unamapato makubwa sana sana
Kwa mkoa wa njombe now zungukia mji wa makambako ndo utaelewa wajomba walivo kupigia draft za lami za kutoSha
1689785728521.jpg
 
Back
Top Bottom