Aisee muambie rose Mary anichekiAman iwe juu yenu wakuu
Hii picha Mimi nimeipenda sana.
Vijana wote inatakiwa tuige kutoka kwa vijana wenzetu hawa wawili.
Za kunyapia ni kwamba alikiba alipewa hela kidogo sana na fiesta ili apige show dar jumamos akakataa na akataja hela anayotaka kulipwa jamaa wakashindwa kufika bei jamaa akaamua naye aandae show yake
Kher kwao vijana wenzetu
London boyView attachment 944345
ππππaiseeemwaka kesho nadhani fiesta watakaotumbuiza ni akina salary slip na gentamycine
sureππππaiseee