Kagoma mimi kuishika simu yake

Usingemwambia nipe ni ile anachukua yako nawe unachukua yake basi huku umejihami,
akileta ubishi unamwambia mlango huo upo wazi nisikuone tena[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo naona Kuna watu wanacheza na mioyo yao na hatima ya maisha yao. Kama kweli mmeamua kuwa pamoja sioni haja ya kufichana chichote!! Hakuna kitu cha kutizama kwa umakini mtu anapokuwa mtu mzima kama mahusiano hili ni jambo Takatifu sana Kaliumba Mungu mwenyewe. Leo wengi wetu wanadamu tunateseka sana japo wengi hatusemi Ukweli kwa sababu ya kuchukulia kimzaha suala la Mahusiano. Ukiona huna Uhuru wa kushikiwa simu na mwenza wako jitafakari sana Mwisho wa hayo mahusiano upo karibu.
 
Mapenzi ya siku hizi mtu yuko radhi umshike au umlambe hata papuchino au kila sehemu ya mwili wake lakini sio kugusa simu yake
 
Mapenzi ya siku hizi mtu yuko radhi umshike au umlambe hata papuchino au kila sehemu ya mwili wake lakini sio kugusa simu yake
Sasa hapo Kuna mapenzi??? Ndo yale Yale yameanzia Ulaya Leo familia zimesambaratika Wamebaki wanatoa macho wamechanganyikiwa Wamehamia homosexual Huko nako ni moto mwishowe wanajiua na wengine kansa. Msongo wa mawazo vinawamaliza!!! Siye binadamu ni watu jeuri sana.
 
Sasa wewe shida yko nini? Km cm yko anashika lakini yake hataki na anafuta meseji, we weka password kwenye cm yko basi. Akitaka kusoma meseji zako kwanza akupe yake, ama la usimpe yako. Akizengua achana nae.
Mapenz ni mazuri iwapo wote mtakuwa na maelewano na kuwa na furaha kila wakati, lakini mapenz ya kila siku mkikutana ni vurugu mechi hamuelewani au ya kujengeana hasira na kutokuaminiana ni bora utafute mwanamke mwenye busara, heshima na mwenye kukujali na kukupa haja ya moyo wako na si vinginevyo.
Maisha ya sasa ni ya kutafuta maendeleo na si kujengeana visasi, hasira au baadae presha ya mapenz. Ila wewe ndo unaweza chagua nini cha kufanya.
Mwanamke pasua kichwa ni shida brother, na hapo huenda yeye anachepuka na hivyo anakuchukulia na wewe lazima utakuwa hivyo hivyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen to that
 
uyo msichana sio kwamba ana wivu noooo.... yaan hapo anahisi anayoyafanya huko nje yeye na wewe pia unafanya ndo maana anapekua ili akute
 
Ukiona katika mahusiano yenu simu ni kitu cha siri.... Basi usipoteze Muda wako acha kabisa. Naamini simu ni Chombo kimeundwa ili kurahisisha Mawasiliano. Sasa kama kinatumika vingine. Basi bado hamjapendana na hamjui mnataka nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…