Simu ni mali ya mtu binafsi unaipekua ya mwenzio ili iweje? Mi najua hizo ni hulka tu za utoto na kutokomaa au kufuata mkumbo tu!!!Ila vema kujiuliza ktk "worst case scenario" kuwa unapopekua simu ya mwenzio lengo KUU ni nini? Muachane? Kuoneshana tu kuwa mnapendana (I mean "show off" maana upendo halisi upo moyoni/kichwani na hakufikiki), kulumbana? Kugombana? au nini hasa? Na jee usipopekua hiyo simu utapungukiwa nini??? Akitaka kucheki picha si unamtumia ktk simu yake folder zima nk…..Tumia upeo wako na ushawishi kuonesha utimamu sio huruma ya kumuachia mtu simu!!!