Kagoda: Ni Rostam

Yalipigwa mabilioni ya shilingi hadi ikawa sio sawa Kashfa ya EPA ilivunja rekodi
 
Siku ambayo ukisikia Maregesi amesimamishwa kizimbani nadio ujue kuwa sasa kumekuchana mchele utamwagiwa kuku ikiwa watashindwa kumyamazisha!!
Mkuu Bule Bulesi , huyo ni mwanasheria, jina limeingizwa kwasababu ni law firm iliyofanya usajili, sheria yetu inaruhusu mtu yoyote kumiliki mali as silent partners bila majina yake kuonekanika popote!. Viongozi wengi wa Serikali ni mabilionea kwa proxy names za majina bandia ya makampuni ya mawakili, halafu ikitokea kampuni ikifanya jinai, mahakama ina lift ile corporate veil kuwajua wamiliki halisi. Wakili Medium Mwale wa Arusha amesota mahabusu ya Kisongo Arusha kwa miaka 8!, kulinda fedha za mteja aliyemkabidhi!.
Hivyo hutakaa usikie law firm ikishitakiwa!.
P
 
Lawama za huyu mzee za kitambo sana
 
Kwa Waliochangia, je.hawa walikuwepo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…