Kwa sasa nashindwa kukupa msaada, nipe muda kidogo. Kuna wenye info zaidi wanaowajua kwa karibu watu hawa wanaweza kukupeni connection ilivyo na baadae Kagoda ilivyokuja kumilikishwa kwa mwingine.Invisible sijui kama unawza kunisaidia kwa hili
Kulingana na hilo bandiko nimeona watu wawili:JohnKyomuhendo anayemiliki kwa asilimia arobaini na Francis William mwenye asilimia sitini ndio wadau wakubwa kabisa kwenye hili.
Nilikua naomba nielekezwe Manji anahusika vipi/au Rostam ilihali wawili hawa hawajatajwa kwenye bandiko hili sehemu yeyote.
asante
Invisible sijui kama unawza kunisaidia kwa hili
Kulingana na hilo bandiko nimeona watu wawili:JohnKyomuhendo anayemiliki kwa asilimia arobaini na Francis William mwenye asilimia sitini ndio wadau wakubwa kabisa kwenye hili.
Nilikua naomba nielekezwe Manji anahusika vipi/au Rostam ilihali wawili hawa hawajatajwa kwenye bandiko hili sehemu yeyote.
asante
Na hivi ndivyo wanavyotaka Tuandamane! Sasa tufanyeje ilhali nchi ni yetu sote?helloo!!!!! someone switch off the TV, maswala nyeti ya serikali yanapojadiliwa wananchi hawapaswi kusikia tena waambieni na hao TVT(TBC) na STAR TV hakuna kurusha matangazo haya ...shiiiiiiiii........ kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Amanigk, na wewe tusaidie kujua pale Caspian Limited ofisini kwa Rostam Kiwalani ni plot namba ngapi vile?!!! Halafu huyu John.... Kyomyuhendo, anafanya wapi kazi vile!!!??? halafu nani vile aliyekua anakwenda BoT kupush malipo? nani aliyelazimishwa na wanene kupatiwa malipo? baadaye Ni nani aliyekwenda kuzibadilisha fedha na ni katika bureu de change gani... naona kama jina linafanana na jina la kampuni inayimiliki jengo moja lililoanguka vile!!?? kwa kuwa unajua zaidi kaka hebu tusaidie