Kagera yarudishia pointi 3 zake na magoli 3

Kagera yarudishia pointi 3 zake na magoli 3

Rufaa imekatwa nje ya muda? Ada haikulipwa? How about those 3 alleged yellow cards?

Anyway, mambo ya kuamua matokeo ya Soka mezani ni ya kizamani mno. Inabidi tuwaemulate "waliostaarabika" ambapo mechi ikishachezwa uwanjani, matokeo yanabaki intact hata kama referee alifanya blunders za wazi kabisa.
 
Back
Top Bottom