GE2025 Kagera: Watia nia CCM wakitoa burudani kwa wajumbe

GE2025 Kagera: Watia nia CCM wakitoa burudani kwa wajumbe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Wakuu

====
Watia Nia kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kagera wakitoa burudani Kwa Wajumbe ukiwa ni mchakao wa ndani wa Chama hicho na uchaguzi unatarijiwa kufanyika siku ya Jumatatu Agosti 4, 2025.
 
Mpaka wishes,tutawatambua vichaa wengi mno wanaochagizwa na njaa
 
Fisiem ni Fisiem tu
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom