Kagera, tubebe msalaba wetu wa tetemeko, njaa, UKIMWI mpaka kwenye sanduku la kura mwaka 2020!

Hakuna Jambo litanishangaza kama Kagera yote kuna Jumbo litaenda CCM. Kweli nitajua alichoongea Rais ni sawa kuwa Kagera kila Tatizo lipo huko yaani hata hili litakuwa moja ya matatizo kama alivyoyasema mengine kuwa kwanini Kagera.
 
Hii kiukweli ndio inanishangaza ...

Yaani jamaa amesahau kwamba wahaya wameshikiria system zote za nchi....

Halafu unawaletea ujinga unafiki watakubali.......

Tuendelee kuwepo tu hapa 2020 naliona anguko la mtu mzima kwa Mara ya kwanza........
Cha kushangaza zaidi mh mwenyewe ni mzaliwa wa mkoa wa Kagera,kapata kajiona yuko matawi juu.
 
Wahaya wana mbwembwe sana ila hamna kitu kabisa ......
2020 sio mbali mtashuhudia ccm wanavyochukua majimbo ya kagera km wanachuma mboga kwenye shamba la bibi ....
 
Back
Top Bottom