Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Halafu utasikia vimefungiwa viwanja vingine huu walaaaa!
Ni kama kipindi kile Simba acheze na Mtibwa kule Manungu

Kilikuwa kiwanja kibovu sikuelewa hata sababu ya msingi ya bodi kuhalalisha kile kiwanja kwa hali ile
 
Kwani CCM Kirumba sio mali ya serikali?
Ccm ilivipora hivi viwanja vya umma na kujimilikisha.

Kuna Rais alikuja na kuaminisha wajinga wenzake kwamba yeye ni Rais wa wanyonge lakini yeye ndio anapiga msumali kabisa kwenye kuhakiki Mali za Chama hivi viwanja ni Mali ya Ccm.

Faida za kuiondowa Ccm madarakani ni pamoja na mambo kama haya viwanja vyote vya umma na shule za Wazazi zilizohodhiwa na Ccm wakati ni Mali ya umma zitaifishwe na kumilikiwa na serikali.

Nyerere alipoingia madarakani amefanya utaifishaji hata kwa Mali za taasisi binafsi na watu binafsi mpaka Mali za kanisa lake katoliki alitaifisha.
 
Na leo mbona hamjafunga mabao mengi? Si mlikua mnatushangaa jana yani Mmehangaika sana leo. Au ndo mnasingizia mvua mbona kagera waliposses mpira na mvua yote hyo
 
Basi imefanya hivyo sehemu nyingi maana nilijua ni Mbeya tu kumbe hadi huko kote wamepita?
 
Kafungwa Kagera sugar ila wenye maumivu ni makolo, karia & CO
 
Attachments

  • Table.jpg
    Table.jpg
    67.4 KB · Views: 3
Na leo mbona hamjafunga mabao mengi? Si mlikua mnatushangaa jana yani Mmehangaika sana leo. Au ndo mnasingizia mvua mbona kagera waliposses mpira na mvua yote hyo
Bahati Mbaya upo uwezekano hujawahi kucheza mchezo wowote unao tumia nguvu.
Yanga wamecheza mechi ngumu kule Tunis, Bahati mbaya siku ya pili baada ya mechi awakurudi uwanjani Ili wapate Recovery Sasa mwili una vunda mbaya zaidi wanapanda ndege zaidi ya massa 72 hawajafanya recovery.
Mwili unakua umevilia damu kutokana na kuufanyisha kazi zaidi ya kawaida Kwa Siku Moja na siku 4 zinazo fuatia mwili umelalatu.
Kitu kibaya Tena siku Yanga wanayo Kuja kucheza, mvua imenyesha Kwaiyo mwili baada ya kuanza na kazi ndogo, unaanza kupambana na uwanja wenye maji na matope Kwa vyovyote vile wachezaji kisayansi walikua wako hovyo sana.
Kwenye Mechi za mazingira haya upo uwezekano wa misuli mingi midogo kwenye miili ya wachezaji kuchanika.
Yanga wanahitaji wafanye mazoezi mepesi Kwa Siku tatu mfululizo Ili wakae sawa.
 
Back
Top Bottom