FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

Apr 27, 2023
90
178
Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans Leo wanajitupa dimbani kumenyana na Namungo Fc katika mchezo wa ligi ya NBC.

Ikumbukwe katika michezo miwili iliyopita ya ligi Yanga wametoa vipigo vikali vya goli 5-0 kwa timu za Kmc na Jkt Tanzania, Je 5G itaendelea tena Leo?

Mchezo huu utapigwa mishale ya saa 1.00 usiku na utarushwa na Azam Sports1 HD

Timu zote mbili tayari zipo uwanjani na muda wowote refarii atapuliza kipenga kuashiria kuanza kwa kabumbu

00" Mpira umeanza Yanga ndio wameanzisha mpira

F6dHwS8XIAA7bIG.jpg


Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
---
1695226041637.png


Dakika ya 88 Mudathir Yahya anaitanguliza Yanga
 
Back
Top Bottom