Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,112
- 24,642
Arusha hivi sasa ni ngome kuu ya upinzani na CCM wanahaha sana kulikomboa jimbo la Arusha jambo ambalo ni ngumu na kiuhalisia kuingia mikononi mwa CCM!
Sasa kwa yaliyotokea Kagera tusitegemee jimbo hilo kurudi mikononi mwa CCM, itakuwa ngome nyingine kuu ya upinzani, na CCM itakuja kutumia nguvu kubwa mno kuikomboa..!!!