Kagasheki: "Usimsahihishe mpumbavu, atakuchukia”

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki amesema usimsahihishe mpumbavu kwani ukifanya hivyo atakuchukia ila mwenye busara atakushukuru.

Kagasheki ambaye alishawahi kuwa Mbunge wa Bukoba Mjini, jana aliandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Twitter uliosomeka hivi "Usimsahihishe mpumbavu. Kwa kufanya hivyo atakuchukia. Msahihishe mtu mwenye busara daima atakushukuru.”
Screenshot_20190706-131539.png

--------
Mkiwa nje ya system akili zinawarudia ila mkiwa ndani...!
CC: All Praise Teams including waunga juhudi under the special care of slowslow.
 
Ukimpa ushauri wa kipumbavu wakati huo huo una historia ya upumbavu lazima akuchukie.
 
Aliewahi kuwa Waziri muongo kwa kuwadanganya watumishi wake. Kwa kweli alitufanya wapumbavu. Coz tulimpigia makofi ya sifa huku akijua anatudanganya. Yeye ndiyo MPUMBAVU.
 
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki amesema usimsahihishe mpumbavu kwani ukifanya hivyo atakuchukia ila mwenye busara atakushukuru.

Kagasheki ambaye alishawahi kuwa Mbunge wa Bukoba Mjini, jana aliandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Twitter uliosomeka hivi "Usimsahihishe mpumbavu. Kwa kufanya hivyo atakuchukia. Msahihishe mtu mwenye busara daima atakushukuru.”
View attachment 1147974

--------
Mkiwa nje ya system akili zinawarudia ila mkiwa ndani...!
CC: All Praise Teams including waunga juhudi under the special care of slowslow.
Balozi kagasheki na wapumbavu wengine mtapata tabu sana, ZIMWI mmelifuga wenyewe wacha liwanyoshe, sisi pembeni tunachekelea tu. Mmeipenda wenyeweeee.....ndindindi.....wacha waisome nambaaaaeeehhhh
 
Ukiwa unakula mema ya CCM akili zinahama, ukinyang'anywa tu ulaji akili zinarudi na rutuba tele..
 
Back
Top Bottom