Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,046
Leo mida ya saa tano nimemshudia mgombea ubunge Bukoba Manispaa CCM mzee Kagasheki akitoa vitisho na matusi kwa sisi vijana wa bodaboda Rwamishenye. Kagasheki alikua na mdogo wake anayegombea udiwani na wafuasi wa ccm .Wakati yuko kwenye hicho kidedea alitupita kwanza na wakati anarudi ndo akaanza matusi nitayaandika macheche mengine sitaweza. Vijana nyie wajinga
Bodaboda mnajaa
Hamuelewi na mwisho kasema kuwa kura zetu azitaki.
Kijana mmoja akamuuliza mbona videdea vilikatazwa?Jibu lilikua kumkamata tai kijana huyo na kumpiga picha.Sasa wadau nikajiuliza hivi huyu kweli nikiongozi? Je yeye yuko juu ya sheria? Kwanini anatumia ubabe kiasi hicho.
Kagasheki you have to get out first and learn politics of issues not politics of violance.