Kagasheki naye atoa ushuz mbele ya pinda

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
eti watu wa kagera walitegemea hoja za namna ya kuboresha maisha yao (kutoka kwa maandamano ya CDM), badala yake wakaambulia matusi na kejeli tu.

je, hii ni kweli?

chanzo: chanel 10
 
eti watu wa kagera walitegemea hoja za namna ya kuboresha maisha yao (kutoka kwa maandamano ya CDM), badala yake wakaambulia matusi na kejeli tu. <br />

Humu kumegeuka kijiwe cha wambea,hapa issue ya kujadili haipo na wewe na wenzio muache uvumi wa kunyanyua kila hoja ili mradi imepita ktk tv tu.Sasa ni wakati wa kazi na msifanye kijiwe hiki kama sehemu ya wauza kahawa ambapo kila habari inapatikana.Sio kila kitu ni issue,kwa thread hii unatafuta umbea tu toka kwa wenzio.Kuna haja ya kutafakari upya humu maake kinaonekana kama kakichaka flani ambako kamejificha eti great thinkers kumbe wafuasi waoga wa CDM(ambao ni invisible na maneno yao ni ya vilabu vya gongo).Lugha chafu kwa kuwa wanahisi hawawezi tambulika ni kujidanganya tuwe wastarabu pasije pakafungwa hapa sisi waficha sura na majina feki tukakosa pa kupumulia.
 
Hayo mabilioni yanayofisadiwa na mabosi wa Pinda na Kagasheki (Read: RA, EL & JK) yanayochotwa kupitia IPTL, Richmond/Dowans, EPA ya BoT kama Kagoda, Deep Green na nyinginezo) yangeboresha maisha ya watanzania kwa kutumika vizuri kugharamia huduma za kijamii kama elimu, afya, maji, barabara, umeme nk.
 
eti watu wa kagera walitegemea hoja za namna ya kuboresha maisha yao (kutoka kwa maandamano ya CDM), badala yake wakaambulia matusi na kejeli tu. <br />

Humu kumegeuka kijiwe cha wambea,hapa issue ya kujadili haipo na wewe na wenzio muache uvumi wa kunyanyua kila hoja ili mradi imepita ktk tv tu.Sasa ni wakati wa kazi na msifanye kijiwe hiki kama sehemu ya wauza kahawa ambapo kila habari inapatikana.Sio kila kitu ni issue,kwa thread hii unatafuta umbea tu toka kwa wenzio.Kuna haja ya kutafakari upya humu maake kinaonekana kama kakichaka flani ambako kamejificha eti great thinkers kumbe wafuasi waoga wa CDM(ambao ni invisible na maneno yao ni ya vilabu vya gongo).Lugha chafu kwa kuwa wanahisi hawawezi tambulika ni kujidanganya tuwe wastarabu pasije pakafungwa hapa sisi waficha sura na majina feki tukakosa pa kupumulia.

acha dharau wewe.

how dare you call jf kijiwe?
 
Huu wa kagasheki ni uharo kabisa
 
Kagasheki alipomaliza Form IV Kahororo Sec ni wanafunzi wawili tu walioshindwa kwenda High School, bahati nzuri mtihani ulifutwa na kurudiwa akashindwa mmoja tu ambaye leo ni Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Kagasheki sioni ajabu kama amezungumza pumba ni kawaida yake
 
eti watu wa kagera walitegemea hoja za namna ya kuboresha maisha yao (kutoka kwa maandamano ya CDM), badala yake wakaambulia matusi na kejeli tu.

je, hii ni kweli?

Moderator umewapa BAN watu wengi sana na wengi bila sababu za msingi,hivi matusi ya namna hii yanaipa picha gani JF kama sio kuifanya kuwa forum ya Wahuni na watu wasio na maadili? Mi naona hatua za kinidhamu zichukuliwe na sio kutukana kama maneno yaliyotumika na mleta threa! Nashauri apewe Ban pamoja na wenzake wanaotukana hapa JF!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom