Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,209
- 99,959
Wasema waipenda mvua, lakini ikinyesha watumia mwavuli.
Wasema walipenda jua, lakini linapo angaza watafuta kivuli.
Wasema wapenda upepo, lakini wafunga madirisha unapovuma.
Ndo maana nakuwa mwoga sana unaponambia kwamba wanipenda.
Bob Marley