HI huyu ni kati ya wale wahutu waliofanya ile killing ya 1991?Wote wameenda hewani. View attachment 790673View attachment 790675
Mnyamwezi naskia ulipigwa ban ya 30 yrs?They all look like they are above six feet...
Hashim namba nyingine ile,hawa ni ft 6 na inches chache,in short watutsi wenzao hawawashangai kwa urefu wao lkn Hashim akienda Rwanda lazima wamshangaeJamaa akisimama na mukulu anaonekana tolu balaa..
Sipati picha hao watoto wake wanakimbizana na hashimu thabiti(hasheem thabeet)[emoji23]
Ila Kagame ni Tutsi mkuuHI huyu ni kati ya wale wahutu waliofanya ile killing ya 1991?
Mnyamwezi naskia ulipigwa ban ya 30 yrs?
Na ww ni mrefu?
Halafu utakuta hata basketball haujui kucheza.
Kwa hiyo, atakuwa ni mtusi aliye-plan killing ya wahutu na Rais wao?Ila Kagame ni Tutsi mkuu