124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,812
- 5,525
Kuna mtu ka hint hapo juu.Rwanda as a country haiifikii Dar a kama jiji kimaendeleo!wewe chagua mkoa wowote Tanzania, halafu upatie misaada ya kiwango kile kile inayopewa Rwanda halafu tuone kama hatutalingana au kuwazidi. Watu wanaongea utadhani Rwanda inajiendesha yenyewe kwa fedha za kodi, Rwanda imetegemea misaada almost kwa bajeti nzima toka 94!