Kagame sends out warning to dissenting RPF cadres

And the same mouth said "I will hit you ' when the time is right", and ended up by being hit instead.
Believe politicians at your own peril.
 
jMali
Mkuu this guy Kagame lives in perpertual fear for his own legacy and life.
He talks tough but cannot deliver the peace to the ordinary Rwandan.
 
Last edited by a moderator:
(Kwenye maelezo yako kila kitu kinaonekana )

Haya la muhimu unalotakiwa kujua Siyo shida kumjadili Rais wako wa Rwanda, Shida ni kumjadili huku ukijifanya ni Mtanzania.

kwa hiyo nikikubali kuwa mimi sio mtanzania utarudi kwenye mjadala?
 

jibuni hoja watutsi sio kujadili uraia wa mtu, mbona mimi siishii tu kusema murutongore ni mtutsi-extremist bali najadili whatever this tutsi brings to the table? Nyinyi watutsi-extremists hamna hoja yoyote, ndio maana mnashikilia uraia wa mtu, uhutu, interahamwe, FDLR, collaborator, traitor na blah blah zingine kama silaha. Assuming mimi ni all of those, inapunguza nini au inaongeza nini katika mijadala yangu?
 
Last edited by a moderator:

You lost it bwooy..wamekushtukia.
 
100%...these arseholes never tell the truth.
 

Mkuu defend kabila lako na unyarwanda wako Kama wenzako wanavyofanya hapa co kulia lia huk unazuga Mbongo!ni hayo tu!Lazma uwe proud na Taifa lako la Rwanda co unajifanya Unaipenda TZ knoma wkt wabongo wenyew wanakuchora tu unavopga makelele tu!
 
Last edited by a moderator:
You lost it bwooy..wamekushtukia.

Nyinyi Tutsi-extremists huwa mna matatizo ya kujisahau. Zile behaviour zenu huko kwenu za ubabe na vitisho sometimes mnajisahau na kuzifanya nchi za watu, halafu mnashangaa hampati the same reaction. Ndio maana kagame wenu aliropoka kuwa atampiga kikwete, hii ni kwa sababu huko kwenu ni kawaida kwake akisema atampiga mtu, hakuna mtu atahoji hoji.
Sasa na hapa napo JF mnajisahau kuwa sio Rwanda. Huko kwenu Rwanda ukiambiwa wewe ni Mhutu, interahamwe, FDLR, Genocidaire etc, ni matusi makubwa kweli na yanahatarisha usalama wako, na hata kama ulikuwa na hoja mwenyewe utazikatisha hapo hapo. Lakini mnachosahau ni kuwa huku nje ya Rwanda, maneno yote hayo yanamaanisha simply mtu ambaye mmeshindwa kumjibu hoja zake. Ndio maana mkishaanza tu kuniita maneno hayo, mimi nachukulia kuwa nimeshawashinda intellectually. Mfano: haiwezekani mimi niseme saa hivi ni saa kumi na mbili jioni, halafu wewe badala ya kuthibitisha au kukanusha kwa kuangalia saa inasemaje, wewe jibu lako liwe ooh, jMali ni interahamwe, FDLR, genocidaire...hapendi watutsi, hampendi kagame, blah blah blah. Ongeeni kwa facts for once.
cc: nyumba kubwa masopakyindi kambitza wa kupuliza murutongore
 
Last edited by a moderator:
Mkuu defend kabila lako na unyarwanda wako Kama wenzako wanavyofanya hapa co kulia lia huk unazuga Mbongo!ni hayo tu!Lazma uwe proud na Taifa lako la Rwanda co unajifanya Unaipenda TZ knoma wkt wabongo wenyew wanakuchora tu unavopga makelele tu!

Hebu pitia thread yangu ya KWANZA KABISA kuhusu Rwanda, ili uone jinsi nilivyo "mnyarwanda" kisawa sawa, na pia nakukaribisha wewe "mtanzania" uichangie maoni yako.
thread yangu "mnyarwanda" mimi ni hii hapa: https://www.jamiiforums.com/international-forum/580728-uraia-wa-watutsi.html
 

aliyekuita mnyarwanda/interahamwe ni mtanzania wa kupuliza Sisi tunajua already so its no news at all ila watanzania wanaendela kukustukia. Soon or later we will out you for what you really are. Tunachotaka ni wewe kutotumia kivuli cha utanzania ili hali sote wenye akili timamu tunajua kuwa wewe ni "wakuja".
 
Last edited by a moderator:

1. Huyo jamaa ni mojawapo ya ID zenu mnazozifungua kila siku ili kuleta picha kuwa kuna watu wengi wako upande wenu. Bahati mbaya unaweza kutengeneza ID lakini huwezi kutengeneza akili tofauti, hoja zenu ni zile zile, maneno yenu yale yale, mpaka kuchanganyikiwa ni kule kule. Sooner or later yatawashinda tu kama kagame yalivyomshinda mpaka akaaibika twitter: source: @RichardGoldston kagame fake account

2. kivuli cha utanzania ndio kinatumikaje? wewe jibu hoja, hakuna mtanzania halisi humu ndani anaye-wasupport.
2.
 
JMali rudi Nyumbani, usiogope utasamehewa makosa yako, usiwe mtumwa, kwani kwani mkataa kwao.........
 

Hahah kaka/Dada acha kughafilika mm Niko hum kitambo tu,hayo mambo ya a/c feki naona unatapatapa tu,swala la msingi ww uczuge et Una side na wabongo they don't give a ---- about u&ur comments! just be a proudly Rwandan inakutosha ili uwe unakosoa siasa za kwenu Kama mnyarwanda,kama wabongo wanavokosoa siasa zao za ndan hum mkuu!
 

Hahah mkuu wazanzibar wanamsemo wao unasema "ukali hauliwi" so punguza ukali mkuu!!mfano wako wa saa na ooh jibu cjui jmali ni interahamwe ni irrelevant mkuu Wang!Swala la msingi hapa ni u should be proudly of your mother country usije kuiponda nchi yako ugenini mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
JAMANI HADITHI HADITHI?: HAPO ZAMANI ZA KALE "WATANZANIA" WALIANZA HIVI:


Mkuu defend kabila lako na unyarwanda wako Kama wenzako wanavyofanya hapa co kulia lia huk unazuga Mbongo!ni hayo tu!Lazma uwe proud na Taifa lako la Rwanda co unajifanya Unaipenda TZ knoma wkt wabongo wenyew wanakuchora tu unavopga makelele tu!


HALAFU "MNYARWANDA" MIMI NIKAJIBU HIVI:


HAPO SASA! "MTANZANIA" HUYU AKAKOSA PA KUTOKEA AKAJIBU:

Asee huo muda wnyw wa kurudia hzo post ni kwere 2tasameheana kwa hilo!

HAHAHAHA, ETI HANA MUDA, KAKIMBIA KITU GANI "MTANZANIA" HUYU? LET ME BRING WHAT ME jMali "THE RWANDESE" POSTED ILI KUMRAHISISHIA KAZI:



wa kupuliza HAYA SASA NA HAPO JE HUONI? NINI MAONI YAKO KAMA "MTANZANIA" ?? HAHAHAHAA.
CC: Muturongore fundisha ndugu zako vizuri siku nyingine wakijifanya wao ndio watanzania wasigundulike kirahisi namna hii!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…