Kagame Rubbishes Hollande’s ‘Condescending’ Letter

Kagame Rubbishes Hollande’s ‘Condescending’ Letter

mchambawima1

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
2,487
Reaction score
738
1.jpg

What came as a ‘Friendly' or a ‘Love Letter' from France's President Francois Hollande to Rwanda's President Paul Kagame wishing him a good 21[SUP]st[/SUP] Liberation Anniversary, turned out to be a ‘Party Spoiler'.

Shortly before addressing the nation from Gicumbi District, Northern Province, from where the liberation struggle took momentum, President Kagame was briefed about the content of the letter, but he had not read it.

The letter, written in French and signed by President Hollande himself, wished President Kagame and Rwandans a happy Liberation Day, but went on to remind Kagame that despite the development and progress he has made, he should remember to "respect human rights".

"Before I read the letter, I want to respond to it," Kagame told the crowd attending the national cerebration. "When I see it I will respond, but I want to respond now." he said and added, "and so what if not [respect human rights]?

He continued. "So, we liberate ourselves and we cant know how to respect human rights?" "Am I the person to be reminded about rights and what I should and shouldn't do for the people I lead?"

Kagame who seemed to have been disturbed by the letter, told the crowd that the motivation of such a behaviour is rooted from Western arrogance and neocolonialism.
2.jpg

"Those who gave us independence gave it in words, and remained with the real independence," Kagame said.
France is Rwanda's former colonial master and was Jevenal Habyarimna's closest African ally and a supporter of the former genocidal regime, which Kagame fought and defeated.

Rwanda and France have had a sour relationship since the end of the 1994 genocide against the Tutsi. The powers at the Elyse continue to face Rwanda's wrath for providing save haven to tens of notorious genocide suspects who masterminded and executed the bloody massacre.

"They support bad leadership and protect the killers…now they have the courtesy to remind me rights?…after all, for me, the rights and independence we need is to fight those who dictate to us what we want," he said as the crowed responded with wild applause.
"No one loves us more than we do…we appreciate the support, and friendship, but it should not strip us of our rights."

As cerebration went on across the country, the millions of Rwandans were attentively listening to the address from the head of the state.

Kagame returns the lecture

France as we all other western nations are at war with global terrorism. The war on terror has engulfed and fatigued military resources. Indeed France has been the latest victim of terrorism by Islamic extremists.

"Instead of partnering with us to fight terrorism …you are instead terrorising me?" Kagame wondered. "We cant accept that. We will not allow to be terrorised. We need dignity and mutual respect."

He said that Rwanda is currently fighting a war to gain respect and dignity from Western powers that have failed to let go of ‘arrogance and neocolonialism."

The President said that Rwanda, alike many other African nations, are being bullied by their former colonial masters and those who give them aid. Kagame, who led the Rwanda Patriotic Army (RPA) rebel group that fought and defeated Habyarimana's genocidal regime said that "The war of bullets was won, but now there is another war to fight; the war for dignity."

Meanwhile, cerebrations across the country were characterised by jubilant residents dancing to patriotic songs, traditional dances and enjoyed the abundant food and drinks prepared.

3.jpg

4.jpg

A mammoth of youthful students join the cerebration

5.jpg

Source: ktpress.rw
 
Unachotaka kueleza ni sherehe za uhuru? Au a letter from French President? Hahaha. Wamembwambia jamaa ateme sumu siyo? Asipotema kwa hiari atatema kwa nguvu.
 
Hahaha. Kagame mzee wa visasi vya kipuuzi. Wakati anavamia Rwanda, Habyarimana aliomba msaada wa vikosi vya kijeshi UN. UN wakaenda kumuomba Marekani. Kumbe Marekani alikuwa upande wa Kagame, Marekani akasema eti "hana hela", ndio UN wakaenda kumuomba Ufaransa.

Ufaransa akaleta vikosi vikapiga operesheni turquoise, hii operation ndio iliyofanikisha wale makamanda waliobaki wakimbilie DRC, wale makamanda ndio wakaunda FDLR.

Sasa huyu PK ndio akaamua kuanzisha chuki na Ufaransa, kaamua kukifuta Kifaransa etc., cha ajabu operesheni ilifanyika chini ya usimamizi wa UN. Sasa kwa nini hajifuti UN kama North Korea?

Same thing kwetu, Tanzania imepeleka majeshi DRC kupambana na M23, ambao kila mtu anajua ni wanajeshi wake yeye. Yeye anatishia kutu-hit Watanzania wakati majeshi yale tulipeleka chini ya UN...

cc: JustDoItNow
 
We ngoja akae kwenye target yetu. tutamtandika kama toto jinga. Ana kiburi cha kitoto. Alikuwa anatumia genocide incidence dunia imuonee huruma. Sasa hivi wameshamshitukia.
 
Hahaha. Kagame mzee wa visasi vya kipuuzi. Wakati anavamia Rwanda, Habyarimana aliomba msaada wa vikosi vya kijeshi UN. UN wakaenda kumuomba Marekani. Kumbe Marekani alikuwa upande wa Kagame, Marekani akasema eti "hana hela", ndio UN wakaenda kumuomba Ufaransa.

Ufaransa akaleta vikosi vikapiga operesheni turquoise, hii operation ndio iliyofanikisha wale makamanda waliobaki wakimbilie DRC, wale makamanda ndio wakaunda FDLR.

Sasa huyu PK ndio akaamua kuanzisha chuki na Ufaransa, kaamua kukifuta Kifaransa etc., cha ajabu operesheni ilifanyika chini ya usimamizi wa UN. Sasa kwa nini hajifuti UN kama North Korea?

Same thing kwetu, Tanzania imepeleka majeshi DRC kupambana na M23, ambao kila mtu anajua ni wanajeshi wake yeye. Yeye anatishia kutu-hit Watanzania wakati majeshi yale tulipeleka chini ya UN...

cc: JustDoItNow

Na kusaidiwa na basha wenu France mkaishia kuchapwa na kukimbizwa kama mbwa koko,coward interahamwe badala ya kupigana vita na wanaume wenzenu mkaingilia kuua watoto na wanawake,ona sasa mmebaki kubweka tuu kwenye forums za watu..na akili yako fupi unajifanya Mtanzania ili upate support kueneza sumu zenu yani hasara tupu.
 
We ngoja akae kwenye target yetu. tutamtandika kama toto jinga.
Ana kiburi cha kitoto. Alikuwa anatumia genocide incidence dunia imuonee huruma. Sasa hivi wameshamshitukia.

Ni wewe kibao kata au ni mwingine?hata sentence iliyonyooka huwezi kuandika sijui unatafuta nini huku
 
Mimi sioni cha ajabu Kagame alichokisema. I would have done the same way or respond that letter with even worse content in it.

Waafrica tuna hadhi yetu baaana.
 
human rights issue huwa msumari sana kwa PK......!!! why?
 
Na kusaidiwa na basha wenu France mkaishia kuchapwa na kukimbizwa kama mbwa koko,coward interahamwe badala ya kupigana vita na wanaume wenzenu mkaingilia kuua watoto na wanawake,ona sasa mmebaki kubweka tuu kwenye forums za watu..na akili yako fupi unajifanya Mtanzania ili upate support kueneza sumu zenu yani hasara tupu.

1. Operesheni iliyofanywa na ufaransa ilikuwa kwa mandate ya UN na sio Ufaransa kama ufaransa. Isingekuwa ufaransa UN ingeomba nchi nyingine yoyote ile, lakini vikosi vilikuwa lazima vipelekwe. Haiingii akilini kuwa any country ambayo ingepeleka vikosi vyake iitwe interahamwe supporter wakati mandate ni ya UN sio ya nchi kama nchi. Why not blame UN instead of France?
2. Kwa bahati mbaya sijadiliani na watu wanaotumia matusi badala ya hoja, so this is my last reply to you until i forget which ID you are using.
 
Ha ha ha as if kama una chochote cha maana zaidi ya hate zako za interahamwe and FYI I care less whether you are going to reply or not,endelea kumwaga sumu zako..have a nice day brother.
 
1. Operesheni iliyofanywa na ufaransa ilikuwa kwa mandate ya UN na sio Ufaransa kama ufaransa. Isingekuwa ufaransa UN ingeomba nchi nyingine yoyote ile, lakini vikosi vilikuwa lazima vipelekwe. Haiingii akilini kuwa any country ambayo ingepeleka vikosi vyake iitwe interahamwe supporter wakati mandate ni ya UN sio ya nchi kama nchi. Why not blame UN instead of France?
2. Kwa bahati mbaya sijadiliani na watu wanaotumia matusi badala ya hoja, so this is my last reply to you until i forget which ID you are using.

kwani vikosi vimeenda Rwanda mara ngapi? wee jMali lazima upende uongo, ukitumia ukweli hata jamiiforum utaikimbia... wanajeshi wa ufaransa (Regionale commando militaire) ni wanajeshi wa ufaransa ambao kwa kawaida ni ma criminal yaliyo katiwa maisha au vifo kutoka nchi tofauti duniani, ufaransa wanachofanya ni kuwanunua na kuwabadili majina na kuwapa passport... ndio maana baada ya kutua Rwanda mwaka 90 hapohapo wakaanza ubakaji, walipo kwenda kule Frontline RPF ilihakikisha hakuna wakutoka salama, baba yenu Miterrand 94 alikimbilia UN kwenda kuomba ruksa kusudi aje kulipiza kisasi lakini matokeo yake nyi Interahamwe ndio mnayajuwa vizuri...
 
Hahaha. Kagame mzee wa visasi vya kipuuzi. Wakati anavamia Rwanda, Habyarimana aliomba msaada wa vikosi vya kijeshi UN. UN wakaenda kumuomba Marekani. Kumbe Marekani alikuwa upande wa Kagame, Marekani akasema eti "hana hela", ndio UN wakaenda kumuomba Ufaransa.

Ufaransa akaleta vikosi vikapiga operesheni turquoise, hii operation ndio iliyofanikisha wale makamanda waliobaki wakimbilie DRC, wale makamanda ndio wakaunda FDLR.

Sasa huyu PK ndio akaamua kuanzisha chuki na Ufaransa, kaamua kukifuta Kifaransa etc., cha ajabu operesheni ilifanyika chini ya usimamizi wa UN. Sasa kwa nini hajifuti UN kama North Korea?

Same thing kwetu, Tanzania imepeleka majeshi DRC kupambana na M23, ambao kila mtu anajua ni wanajeshi wake yeye. Yeye anatishia kutu-hit Watanzania wakati majeshi yale tulipeleka chini ya UN...

cc: JustDoItNow

Mkuu nimesoma hotuba yake anayolalamikia kitendo cha kukamatwa kwa Jasusi wake Mkuu/ Waziri wa Usalama wa Taifa lake. Nimesoma mpaka mwisho - cha ajabu niliona anajirudia rudia yaani inaonekana iko totally incoherent, nafikiri alikuwa ameshikwa hasira sana, alafu ukiongezea alivyomjibu Hollande, naona kuna tatizo la yeye na jamaa zetu wa Ulaya, lakini akumbuke hawezi kushindana na watu hawa akabaki salama, mtoto wa Gaddafi anaweza kulithibitisha hilo - he and his Daddy learnt their lesson the hardway!!

Tujaribu kuwa wakweli; hivi Waingereza na Wabeligiji walikosea nini hapo kumkamata Karenzi? Mbona PK mwenyewe kila siku anatoa directives za kuwakamata washukiwa wa mauuaji huko Rwanda? Na ukiangalia list ya Wahutu wanaotafutwa, wengi wao ni wasomi. Mpaka nikawa najiuliza maswali mengi, hivi kuna ushahidi gani wa kuonyesha kwamba Wahutu wenye elimu nzuri ndio walikuwa ma-archtect wa mauuaji? Je, kuna hidden agenda ya kusakama kabila hili ili lisiweze kuinuka tena au?

Sheria ni msumeno, kama PK anawatafuta wauuaji kwa udi na uvumba huko Merikani na Ulaya - anataka International Community imsaide kuwakamata na kuwaleta Rwanda ili wa face music, sasa kwa nini Wabeligiji na Wafaransa wakitaka kukamatwa kwa maafisa wa jeshi la PK waliohusika na genocide ya pili ambayo ilikuwa ni mother of all genocides yeye anaona hilo ni kosa!!! PK liberated his Country - fine, lakini kulikuwa na ulazima gani wanajeshi wake kwenda kwenye kambi za wakimbizi huko Congo na kwingineko na ku-commit despicable things??

Mimi nafikiri PK a calm down - mahakama za Ulaya zinatenda haki sana, huwezi kulinganisha na "gachacha", sina hakika na neno hilo, kama kutakosekana ushahidi wa kutosha wa kumtia hatiani Karenzi, sina shaka Wazungu watamwachia huru - lakini mtu ukianza kuwa jumpy basi watajua kuna kitu unataka kisijulikane.
 
1. Shida iliyoko ni kuwa karake ameua raia wa Ulaya. Isingekuwa hivyo Wazungu usingewasikia kumfatafata Kagame, they don't care Kagame kaua Wahutu wangapi.

2. Its true ni kwamba kuna 'hidden agenda' ya RPF ya kufanya jamii ya Wahutu ibakiwe na wasiosoma tu. Kwa kawaida nchi yoyote ikiingia vitani matajiri na wasomi huwa ni rahisi kukimbilia ughaibuni. RPF inatafuta wahutu wote wa dizaini hiyo halafu inawatungia kesi za genocide, halafu inaomba international warrant ili warudi kushitakiwa Rwanda, ambapo of course huwa kuna mashahidi wa uongo kibao na majaji wasio independent hivyo jamaa huwa wanafungwa.

Ukiangalia jinsi wahutu hawa wanavyofungwa utaona huruma. Imagine mtu alikuwa mwalimu, interahamwe wakaja shuleni wakaua watoto wa kitutsi, hivi huyu anashitakiwaje eti "alishirikiana nao"? Hivi kwa mazingira hayo mtu angefanyaje? Mtu alikuwa dokta au nesi, interahamwe wanakuja na mapanga kuua watutsi, yeye afanye nini? Eti huyu naye anaambiwa "alishirikiana nao" kisa tu yeye mhutu!

Ukiangalia kesi za hao wanaorudishwa rwanda kujibu mashtaka ya genocide utashangaa. Wengi ni wahutu wasomi, matajiri, watu wenye hali nzuri kimaisha. Hata hapa bongo tukiamua kuchinjana, kuna uwezekano gani maprofesa na Phds, engineers and big business people eti kushika mapanga na kuchinja watu? Watakaochinja watu watakuwa ni mateja, wavunga bangi etc, sio hawa watu.

Ukitaka kuona ukweli huu angalia mfano kesi za Calixte mbarushimana, kiongozi wa FDLR. Huyu mtaalamu wa kompyuta alishitakiwa for genocide na Rwanda ikaomba arudishwe ili ajibu mashtaka ambayo of course yalikuwa yametungwa. Bahati nzuri, mwajiri wake, umoja wa mataifa (UN), ikathibitisha pasipo shaka kabisa kuwa wakati wa genocide Calixte alikuwa computer programmer wa UN nchini Kosovo, Rwanda ikaulizwa hiyo genocide kaifanyia kwa mtandao?

Rwanda ikanywea ikafuta kesi. Baada ya hapo Calixte akajiunga na FDLR na kuanza harakati. Rwanda ikatunga tena mashtaka ya uongo ikapeleka ICTR. ICTR nayo ikaangalia kesi ikaona haina mashiko ikaifuta! Jamaa hawakuchoka wakatunga nyingine wakapeleka ICC, ICC nayo ikaangalia ikaona haina mashiko ikaifuta! Sasa wewe jiulize hao mashahidi waliomuona Calixte mbarushimana anachinja watutsi wenzao walimuona vipi na mtu alikuwa Kosovo?

Jiulize kama huyu Calixte hakuwa mfanyakazi wa UN, hali yake ingekuwaje leo? Unaona wazi kuwa analengwa sio kwa sababu ya makosa bali kwa sababu ni msomi, msomi ambaye anaweza kuwaunganisha wahutu.

Bahati mbaya wahutu wengi wasomi kama Mbarushimana hawana wa kuwatetea na hivyo wakirudishwa Rwanda kujibu mashtaka huenda jela moja kwa moja. Kwa sababu mashahidi wa serikali huwa ni wa uongo, wamenunuliwa au wametishwa.

Hata kesi mojawapo ya Victoire Ingabire, Kagame alipata aibu, mashahidi wa serikali WALIKANA kumjua Ingabire na kuweka wazi kuwa wameambiwa watoe ushahidi huo wa uongo! Mind you hao ni MASHAHIDI WA SERIKALI! Mahakama za Gacaca ndio mbaya zaidi.....

Kinachomuogopesha Kagame ni kuwa yeye mwenyewe ana mashtaka hayo hayo. Kesi ya Karake ni kweli, wazungu huwa hawapotezi muda kutunga uongo kama yeye. Kesi ya Karake ikisikilizwa, ushahidi mwingi utaibuka ambao utaweka wazi uozo wa RPF na Kagame na kusababisha kesi zingine nyingi dhidi yake.
 
Mimi sioni cha ajabu Kagame alichokisema. I would have done the same way or respond that letter with even worse content in it.

Waafrica tuna hadhi yetu baaana.

Hadhi gani mkuu? Mimi naungana na Kagame kwa kuwa jamaa hata kama ni muuaji ni diplomat. Sidhani kama ni busara kumkamata jamaa, naona ni racism na uoga tu. Kama hiyo ni sababu Kagame ameenda mara angapi UK? Yeye ndio aliyeamuru waende DRC kwanini asikamatwe yeye?

It is pure racism, Ocampo justice....nothing to do with human rights. Unless wakamatwe kwa kuhusika na mauaji ya wahispania, sina uhakika kama jamaa waliuawa wahispania DRC.
 
jMali, wasomi gani hao unaopigia kelele? Mbona walishindwa hata kuwasaidia kimawazo muache kuchinja watu wasio na hatia? Wasomi gani hao walioacha mji mkuu wa nchi yao (Kigali) ufanane na Kibondo kwa kina motochini kwenye kila jambo ukiacha mauaji?
 
Last edited by a moderator:
Hadhi gani mkuu? Mimi naungana na Kagame kwa kuwa jamaa hata kama ni muuaji ni diplomat. Sidhani kama ni busara kumkamata jamaa, naona ni racism na uoga tu. Kama hiyo ni sababu Kagame ameenda mara angapi UK? Yeye ndio aliyeamuru waende DRC kwanini asikamatwe yeye?

It is pure racism, Ocampo justice....nothing to do with human rights. Unless wakamatwe kwa kuhusika na mauaji ya wahispania, sina uhakika kama jamaa waliuawa wahispania DRC.

1. Karake sio diplomat. As far as i know hana kinga yoyote ile. Kagame ni rais hivyo ana kinga ya kutokukamatwa, na yeye Kagame yumo kwenye kesi hiyo ya Spain, yupo kwenye kesi nyingine Ufaransa, na marekani. Kinachomlinda ni hadhi ya urais ndio maana hataki kuachia madaraka kwani akiwa raia wa kawaida lazima akamatwe.
2. Moja la shitaka ni kuwaua wahispania nchini Rwanda. wahispania hawa waliuawa kwa sababu walipiga picha za mauaji ya askari wa RPF waliokuwa chini ya Gen. Karake. Hata hivyo upo mkataba wa kimataifa wa kuzuia genocide na uhalifu wa kivita, chini ya mkataba huu mahakama yoyote ikishtaki ni lazima mtuhumiwa apelekwe huko anakoshitakiwa. Hii ndio maana Rwanda inashitaki watu wengi kwa genocide na wanarudishwa Rwanda kujibu mashtaka. Hivyo hata asingeua waspain, kwa yale mashitaka mengine chini ya mkataba huu ni lazima angepelekwa tu.
 
Depends on the definition of a diplomat........
 
Back
Top Bottom