Kagame Rubbishes Hollande’s ‘Condescending’ Letter

Kagame Rubbishes Hollande’s ‘Condescending’ Letter

Jamani tuseme ukweli,Watanzania mnajuwa fika pale mlivyoenda Kumsaidia Kabila wa kwanza Kipigo mlichokipata cha wanyarwanda kule Rubumbashi jaapo iliwekwa sili mi nilikuwepo!!, juzi tu mnajigamba kuwapiga M23 wakati hamkuingia hata uwanja wa mapambano,naona mtabakia kuongea Kiswahili,Taifa kubwa na Vita ya Idiamini tuu!!!poleni japo nawapenda.

1. Panaitwa Lubumbashi sio hivyo ulivyotamka kikwenu, nilishakwambia utabadili ID unavyotaka lakini huwezi kujibadili wewe.
2. Tanzania haijawahi kupeleka jeshi kumsaidia Kabila wa kwanza that is simply a lie.
3. Kama hatukuingia uwanjani kupambana na M23, askari wetu waliuawa na nani? walijipiga risasi? hebu tupe conspiracies zako kuhusu hilo.

cc: kadoda11 platozoom Ntuzu
 
Asante. Wasiwasi wangu ulikuwa ni huu. Mgogoro wa Rwanda una pande mbili, endapo hukusema upande mmoja kukamatwa ni racism, inatia shaka kwa nini kabila lingine likikamatwa useme racism. Asante kwa ufafanuzi wako.

Lazima waseme ni Recism kwasababu wanajua fika mambo waliyo yafanya! Lkn hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho! Vinginevyo aendelee kung'ang'ana madarakani mpk kufa kwake!
 
Mkuu nahisi mjadala umeudandia kati kati. Kuhusu hoja zako juu ya wasomi tuko pamoja nakubaliana na wewe 100%, lakini nakushauri uanze kusoma mwanzo wa mjadala ili ujue mjadala wa wasomi uko kwenye context gani. asante.
Nimekusoma
 
Jamaa anazarau sn. Lkn hizi zarau zake zitakuja kumtokea puani siku moja!

na ndio nnacho mpendea... kudhalau wanao jidhalaulisha kama kina naniliu... Cc: jMali Agaciro!!!
 
Lazima waseme ni Recism kwasababu wanajua fika mambo waliyo yafanya! Lkn hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho! Vinginevyo aendelee kung'ang'ana madarakani mpk kufa kwake!
chunga sana domo lako! halafu ukiona jMali kakupa tano, juwa umekwisha! huyu mumiani jMali ukisema vibaya au ukipakazia RPF kuhusu mauwaji huwa anafurahi sana kwani ni kama kumliwaza, kwa kifupi ni kwamba eti pande zote ziliuwa, ngoma dro na mpira uwekwe kati! no way!!! jMali and Co killed innocent people, therefore they have nothing to teach us but listen to RPF who stopped their evil acts...
 
Ujumbe umeupata vzr! Komaeni madarakani mpk mfie hapo hapo!
 
Ha ha ha as if kama una chochote cha maana zaidi ya hate zako za interahamwe and FYI I care less whether you are going to reply or not,endelea kumwaga sumu zako..have a nice day brother.

Mzee wa jenosaidi mbona povu hivyo???......LOL
 
Mzee wa jenosaidi mbona povu hivyo???......LOL
povu kama hili la yule basha wako unaemsema kila siku?

CJtpH2zWIAAUCYd.jpg

CJtpQemWEAAIHRi.jpg

Cc: jMali kimenuka, wastaarabu na wapenda nchi wanaitaka nchi yao... utakimbilia wapi safari hii? France?
 
povu kama hili la yule basha wako unaemsema kila siku?

Cc: jMali kimenuka, wastaarabu na wapenda nchi wanaitaka nchi yao... utakimbilia wapi safari hii? France?

mzee wa sumu sasa hiyo na thread hii kuna mahusiano gani?
Sasa mwambie huyo paka wako amchezee magufuli uone kitakachompata.....LOL
 
Back
Top Bottom